Lissu aigomea CCM,CHADEMA wahamia Dodoma kumuunga mkono

Lissu aigomea CCM,CHADEMA wahamia Dodoma kumuunga mkono

jf ina member wengi sana na wote sio wanaochangia hoja pindi wasomapo humu wengine husoma na kutoka kimya kimya sababu sio wataalam au hawana la kuchangia juu ya mada husika.

ni bora na wewe uwe unajifunza hivyo sababu kuchangia mara kwa mara sio sifa kama unachangia utumbo kama wako ww hii habari kwako sio njema kwa kuwa wewe ni wa ccm au sio mtaalam wa sheria au hauna kabisa ufaham juu ya sheria lakini wapo ambao inawahusu hiii?

jaribu kuficha upumbavu wako japo kwa kupita kimya tuu.ila endelea kubwatuka kama unamasilahi binafsi au kunakipato unakipata kupitia utumbo na uharo uchangiao hapa .

Umemmaliza kabisa mkuu
 
Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.

ukiwa baba ndani ya nyumba na hutoki kutafuta chakula cha familia na mama anatoka kutafuta baadaye mnakula vizur na wee ukiwemo, usitegeme kuzaa watoto waliowako kimimba.
 
Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.

ndo iwe fundisho kwa ccm, msikurupuke,

unajua mtalipa bei gani kwa huu upuuzi wa kufungua kesi mbuzi alafu mnakimbia mahakamani??

Lissu wamalize kenge hao.
 
'mtoto akitaka moto, mwache ashike moto'

yani hapo withdraw with cost inaweza ikawagharimu ccm kama million 400 hivi.
 
Ukichimama nchale-ukikaa nchale!!!Chichiem wamechikwa pabaya lachima wachutame na bado haichaidii,ni nchale tu.Mwee!!!Patamu hapoo@'Mwisho wa ubaya aibu'.~~~Mshereheshaji aliuliza umati~~~chichiem mpoooo???Umati~~Kimya hata wale waliovalia sare za chama~~yaani imefikia mahali ni aibu na fedheha kujitambulisha kama mwana magamba utokeae ukoo wa panya na mchwa.

teh teh teh teh...chama makini kwa watu makini.
 
Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.

mlipe garama za kesi ya awali ili iwe fundisho kwenu na kwa wenye tabia kama zenu,kama ile kesi ya LEMA
 
Kumbe gazeti lenywe la udaku hapa hakuna habari ni mizaha tu.
Kuna watu makenge dunia hii....
Kesi inanguruma...wakili Lisu na mawakili wa serikali wamemkalia kooni Wakili wa CCM.
malicious intent............lazima Dismiss with Cost.

Imekula kwenu.
 
Bado dakika chache huko mahakamani wakili wa maCCM atamwaga manyanga chini kwa kumtaja aliyemtuma kwani wakili wa serikali, majaji na Tundu Antipas Lissu wamemkalia kooni............ KINANA mtaalam wa meno ya tembo nenda kamsaidie wakili wako anahaibika............
 
Lissu komaa nao hao wanakijiji walipe gharama!!!!!
wanakijiji wamesema walilazimishwa na CCM mkoa wa singida kufungua kesi -- then ilipopigwa chini wakaamuliwa na CCM taifa kukata rufaa, sasa wakili wao hata posho yake hajalipwa balaaa!! Wanakijiji hawataki tena kuendelea na kesi hii
 
Bado dakika chache huko mahakamani wakili wa maCCM atamwaga manyanga chini kwa kumtaja aliyemtuma kwani wakili wa serikali, majaji na Tundu Antipas Lissu wamemkalia kooni............ KINANA mtaalam wa meno ya tembo nenda kamsaidie wakili wako anahaibika............
mbaya zaidi wakili mwenyewe hajalipwa - alipewa advance tu -- ha ha ha
 
Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.

Kama hauijui masuala yanayohusu sheria ni vizuri ukakaa kimya kuliko kuuvua ubongo wako hapa JF.
 
Back
Top Bottom