jabali gumu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 229
- 46
Lissu komaa nao Gambaz hao,iwe fundisho kwa viherehere wengine kufungua kesi kwa kutumwa.kimbiza....hao...
Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.
Hujasoma iyo post vizuri..,haifutwi hivihivi lazima mumlipe..Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU.
Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.
wajishtaki wenyewe?Maccm ni watu waajabu sana. Badala ya kushitaki majangili wanaomaliza tembo wetu wao wanadili na propaganda tu
Namna waliyotaka kutoa shauri mahakamani wamekosea kisheria. Ukiwithdraw the adsverse party ni ngumu kudai gharama za kesi. Lisu anataka case iwe "Dismissed with costs" Ili alipwe gharama za kuendeshea kesi. Sidhani kama anataka kuendelea na kesi. Ni hayo tu!Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.
kwa nini wafute kesi? Itakula kwao, chezea lissu wewe?Watu wakiambiwa lisu anamatatizo wanakataa sasa anataka kushitakiana na nani kama waliomshitaki wameomba kufuta kesi pengine anashitakiana na hewa.
teh teh, nani kafungua kesi? Kina anahusika 100%!Wewe kinana alikufanya nini hulali kumwaza kwani kesi kafungua kinana au wewe unaona kila mwanaccm ni kinana.
wewe sema ni mizaha, utamjua lissu ni nani!Kumbe gazeti lenywe la udaku hapa hakuna habari ni mizaha tu.
tuthibitishie kwa hili mkuu...Mda siyo mrefu wewe na lisu mtaondoka naye tu hakuna atakayemchagua tena jimboni labda pale alipozaliwa tu.