Lissu agoma kuwa taulo la damu

Lissu agoma kuwa taulo la damu

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Taarifa kutoka kwenye chanzo imara kabisa leo zimenifikia zikisema kuwa Tundu Lissu has rejected President Samia Suluhu Hassan’s offer ya kuundwa serikali ya mseto .

Jamaa anasema nipo kwenye mikono yenu ,mimi siyo bora kuliko wengine , nilichokisimamia ndicho ninachokiishi na ndicho nilicho na utayari nacho hata wakukifia kama wanachokifia wenzangu (huyu jamaa sijui anapataga taarifa na nani huko gerezani)

Taarifa inasema jamaa aliombwa akubali kutoka gerezani na akubali waunde serikali ya mseto (Power sharing government

Taarifa zinasema Lissu has instead demanded a fresh election, He insisting he must face President Samia directly on the ballot na kuwepo na wengine watakaopendekezwa na vyama vyao otherwise Jeshi lishikiliwe inji hadi hapo watakapoona mazingira yako sawa lakini siyo yeye kukubali kufanya kazi na hii serikali iliyokataliwa na Raia hiyo itakuwa nijutaka kumfanya yeye afanyike kuwa tauro la Damu.

Je! CCM watakubali kurudia Uchaguzi ?

Kama watakubali rudia Uchaguzi ,watakubali kufanya kwanza mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi pamoja na reforms mbalimbali zikizokuwa zinapigiwa kelele ambazo kimsingi ndizo kiini cha yote haya?

Mwamba kakaza .
 
CCM wakikubali au wakikataa, hawana tena karata. Wamebakiwa na magarasa!
 
Unaongelea Chama ambacho kuna uwezekano mkubwa Jeshi ikataifisha mali na kuzirudisha serikalini. CCM ivujwe na kuundwa upya ndiyo imetufikisha hapa haiwezekana hiki chama kilicho tuletea haya majanga yote kiendelee kuwepo . Iwe kama TANU
 
Kina dogo The Icebreaker adriz Lucha, boxer zimetoboka kwa nyuma mavi yanagonga mfulululizo utadhani cheche za volcano.
Wewe mtoto wa zinaa acha kua unanitag choko wewe,ulishaona mimi naongelea mambo ya siasa humu au kushabikia siasa?

Kama mumeo hakusugui vizuri,tafuta mabasha huko wakusugue,mimi sina mazowea na machoko kama wewe.
 
-Nguvu za Raisi na wanasiasa zidhibitiwe na kuwe na check and balance
  • police, mahakama na vyombo vya usalama visiwe na influence ya yeyote au wanasiasa
  • Tume ya uchaguzi iwe huru bila influence ya politicians au serikali
-Haki na usalama wa kila mtu ulindwe 💯
- yapo mengi lakini muhimu ni haki na usalama wa kila mtu kwanza
 
Na hiyo power sharing agreement itakuwaje? maana kwa mujibu ya katiba yetu, waziri mkuu hutokana na chama chenye wabunge wengi, Rais pia anazo nafasi 10 za kuteua... hata akiamu kuwapa nafasi zote 10 hao chadema, watazikubari? Itakuwa ni yale yale ya Robert Mugabe and Morgan Tshangilai na power sharing na baaade wakamezwa na Zanu PF. Mpango wa Samuya na ccm yake ni kuwameza Chadema- period. Chadema iukate huo mtego kwa sasa... waunde serikali labda CHAUMMA..na ACT
 
Bila shaka itabidi wafanye marekebisho ya haraka... Ila tusidanganyike, huwezi kuwa mshirika wa serikali halafu hapo hapo ukawa mpinzani. CUF/ATC ndiyo waliingia kwenye huu mtego na upinzani wa Zenji umekufa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom