Lissu aanza tena miujiza Ubelgiji

Lissu aanza tena miujiza Ubelgiji

Ni Muujiza tena !

Mbunge wa Singida Mashariki , Mwanasheria Mkuu wa Chadema , Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Rais wa TLS , Mh Tundu Lissu , amewashangaza tena Wapendwa wake BAADA YA KUANZA KUTEMBEA KWA KUJIKONGOJA katika wiki ya kwanza ya ngwe ya mwisho ya matibabu yake ya viungo nchi ubelgiji .

Chanzo - Nipashe

Onyo - Shetani hajawahi kumshinda Mungu hata mara moja .


Sasa Tundu Lisu ni Shetani au Mungu?
 
Sijaona muuujiza hapo...nachokiona ni kwamba ameanza kupona as stori za kutembea tulizisikia tangu akiwa Nairobi
 
Ni Muujiza tena !

Mbunge wa Singida Mashariki , Mwanasheria Mkuu wa Chadema , Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Rais wa TLS , Mh Tundu Lissu , amewashangaza tena Wapendwa wake BAADA YA KUANZA KUTEMBEA KWA KUJIKONGOJA katika wiki ya kwanza ya ngwe ya mwisho ya matibabu yake ya viungo nchi ubelgiji .

Chanzo - Nipashe

Onyo - Shetani hajawahi kumshinda Mungu hata mara moja .
Umeharibu kuleta uzi huu, soon kombe litafunikwa mwanaharamu apite. Utanambia!
 
Habari mbaya hii kwa watu wa pale Magogoni na Lumumba pamoja na vibaraka wao wa mitandaoni.

Salary Slip ,

Mkuu,
Hapa ndipo mnapokosea sana.

Acheni TL apone aje ahojiwe aseme waliomshambulia maana alisema anawafahamu japo, badae alikuja kukanusha kuwa hawafahami.

Ghafula hajatoka tena Nairobi akasema moja kwa moja kuwa ni serikali na uongozi wake.

Kwa hiyo, hadi sasa hatujui hasa ni nani aliyefanya tukio hilo.
 
Ni Muujiza tena !

Mbunge wa Singida Mashariki , Mwanasheria Mkuu wa Chadema , Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Rais wa TLS , Mh Tundu Lissu , amewashangaza tena Wapendwa wake BAADA YA KUANZA KUTEMBEA KWA KUJIKONGOJA katika wiki ya kwanza ya ngwe ya mwisho ya matibabu yake ya viungo nchi ubelgiji .

Chanzo - Nipashe

Onyo - Shetani hajawahi kumshinda Mungu hata mara moja .

Shetani hataki kutubu kwa kujaribu kumuua lisu na wengine walokufa na kupotea
 
Ni Muujiza tena !

Mbunge wa Singida Mashariki , Mwanasheria Mkuu wa Chadema , Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Rais wa TLS , Mh Tundu Lissu , amewashangaza tena Wapendwa wake BAADA YA KUANZA KUTEMBEA KWA KUJIKONGOJA katika wiki ya kwanza ya ngwe ya mwisho ya matibabu yake ya viungo nchi ubelgiji .

Chanzo - Nipashe

Onyo - Shetani hajawahi kumshinda Mungu hata mara moja .
Hii habari ni mbaya sana kwa waliokusudia kumuondoa duniani
 
Siasa za CHAGADEMA zimehamia kwa Mgonjwa Lissu ndo uwezo wao umefikia hapo hawana siasa zingine
 
Back
Top Bottom