Fired 38, on Target 1638 au 16?!!!..........taratibu sheria ya takwimu itakuhusu!
Hilo jambo ni gumu sana mkuuNajaribu kujiuliza siku atakayorudi TZ wanaotaka kumlaki pale uwanja wa ndege DSM wataruhusiwa kwenda kweli? Maana maombi ya kumwombea apone haraka yalipigwa marufuku.
They are corwads la sivyo wangeshajitokezaBro unajiamini kias gani kumtusi unknown person... Au unajivunia yale mambo yako ya gizani
ulipo tupo fisadi EL wanataka kumfukuza tena kule kwa wachagga.Ni yapi maoni yako?Hapo CCM wamenuna haswa.
Tusihukumu lakini hata fununu za aliyetenda? Hata kamera hata malipo kidogo ya watawala, ni kweli lkn hali hii inatoa hukumu yenyewe.Amen ila wajameni nausisitiza huu wito
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
We wish him to get well soon.
Paskali
Nachukia sana mijitu inayosifia utawal huu wa mauaji, utekaji na utesajiHapo CCM wamenuna haswa.
watu wa lumumba/magogoni wanune kwa sababu lissu anapona!
mbona lissu amekuwepo ktk ulimwengu wa siasa zaidi ya 20 yrs na hakuwahi kuwa tishio kivile, na awamu hii ndo hajapata nafasi kabisa ya kuonesha cheche zake,
ktk kitu ambacho chadema kitawagharimu ni kulitumia tukio la lisu kupigwa risasi kutaka kujiimarisha kisiasa,
mbaya zaidi yeye mwenyewe anaitumia afya yake ambayo bado si nzuri kutaka kuvuta attension ya watu.
Jamaa wanafikiri wazungu wanalala huku wakituwaza Waafrica kwa mahaba.. “ Oh European Union wataongea naye, hata kama ...” To many of them , we’re shit in the shit holes. Too bad.Muulizeni, Lissu amesikia kile Truph alicho sema kuhusu Afrika, Wazungu wanamdatishaga sana lissu
Yaani mtu alikuwa bonge namna ile hivi sasa anajikongoja huko Ubelgiji? Aisee kweli hujafa hujaumbwa.Ndio.
Jeshi navyombo vyetu vyote vya ulinzi havijawahi kuchelewa kujuwa wahusika au kushindwa vita yoyote ile ni ushindi kwenda mbele nashangaa mpaka muda huu wahusika waliomshambulia mh mbunge rais wa tsl na mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani nimtu mkubwa nchini walio mshambulia wasijulikani mpaka muda huu ni aibu kubwa sana mpaka sasaAmen ila wajameni nausisitiza huu wito
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
We wish him to get well soon.
Paskali
Ha ha ha, hicho kizungu cha ugoko ndio maana tanaonekana tundu la choo....Daft son of the Hades owner!
Exactly...CC: stupid snipers of 38 bullets.. Amateurs..!!
Hamna mbona karma inafanya kazi muda sahihi sema sie wanadamu tunataka matokeo ya haraka harakaMkuu tatizo la hiyo Karma ni kutojali muda. Inachelewa sana kufanya kazi na kuleta matokeo.