My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Wewe ulitakaje? Daft son of the Hades owner!Anajikongoja?
Wewe ulitakaje? Daft son of the Hades owner!Anajikongoja?
Ok, so hayo 22 yaliokotwa maganda ya risasi?!!!!........ni vema tukaweka siasa pembeni!Hesabu tu ndo inakuchenga, 38 - 16 = 22 off target bullets
Ama kweli hujafa hujaumbwa.Wewe ulitakaje? Daft son of the Hades owner!
Siasa ipi tena mbele ya pyupyu! Mbona unahangaika sana wewe kama unataka kukata roho? Yaani una hoja za kitoto tena kile cha miaka mitatu kinachoimmitate kila kisichomhusu! Halafu unajiiya mwajf! Wana hasara waliokuzaa na wanaokutegemea!Ok, so hayo 22 yaliokotwa maganda ya risasi?!!!!........ni vema tukaweka siasa pembeni!
Amen ila wajameni nausisitiza huu wito
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
We wish him to get well soon.
Paskali
38 au 16?!!!..........taratibu sheria ya takwimu itakuhusu!
Zaidi ya 38 mkuu.38 au 16?!!!..........taratibu sheria ya takwimu itakuhusu!
Anajivunia aliemuokoa Lissu.Bro unajiamini kias gani kumtusi unknown person... Au unajivunia yale mambo yako ya gizani
Anajikongoja?
Umeshapanic tayari, mnashi na takwimu wapi na wapi?!!Siasa ipi tena mbele ya pyupyu! Mbona unahangaika sana wewe kama unataka kukata roho? Yaani una hoja za kitoto tena kile cha miaka mitatu kinachoimmitate kila kisichomhusu! Halafu unajiiya mwajf! Wana hasara waliokuzaa na wanaokutegemea!
Mkuu unakumbuka ngapi?Ok, so hayo 22 yaliokotwa maganda ya risasi?!!!!........ni vema tukaweka siasa pembeni!
Wewe "K" isiyonyolewa.watu wa lumumba/magogoni wanune kwa sababu lissu anapona!
mbona lissu amekuwepo ktk ulimwengu wa siasa zaidi ya 20 yrs na hakuwahi kuwa tishio kivile, na awamu hii ndo hajapata nafasi kabisa ya kuonesha cheche zake,
ktk kitu ambacho chadema kitawagharimu ni kulitumia tukio la lisu kupigwa risasi kutaka kujiimarisha kisiasa,
mbaya zaidi yeye mwenyewe anaitumia afya yake ambayo bado si nzuri kutaka kuvuta attension ya watu.