Lissu aachiwe huru

Lissu aachiwe huru

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.

Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.

PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
 
Ukieleza kesi "iharakishwe" na hukumu ikawa ni TAML kunyongwa hadi kufa itakuwaje?
 
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.

Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.

PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Resolution nzuri sana hii JWTZ angalau wanaaminika. Ianzishie Uzi wake mkuu.
 
Jwtz hawahawa walio kula tenda ya kisambaza vibaiskeli vyakijani nchi nzima wanashushabusiku usiku..???au jwtz wapi
 
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.

Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.

PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Naona unataka serikali ya kijeshi
 
Demokrasia gani tena hiyo ya kuliingiza Jeshi kwenye siasa?
Ipo siku utasema uchaguzi usimamiwe na viongozi wa dini.
 
Nyie hamna nguvu yakutushinda CCM, si tunakila kitu.
Tunakubalika tuko na wanachama hai zaid ya million 12, tunawasomi kushinda hao mnasema wanaweza waletea kombe hapa,
tunapendwa na wananchi masikini sio nyie mnaona mnapata ugali mnataka mvuruge amani yetu kwa kuanza kuteka watu mki gaslight people ety ni CCM wanafanya.
Nyie hamfai kabisa
 
Wewe ndio pumbavu wa mwisho hata kama upo chomboni.
 
CCM haiko tayari kwa hilo! Kwake inaona ni kama ku commit suicide.
Kuhusu JWTZ usihofu Maza alishamwelekeza Cin D kulinda amani wakati Wizi wa kura unafanyika.
 
Poppy Hatonn , Baba yako ndio katuachia dubwasha hili ccm na sasa watu wanahangaika nalo Kama mba na mfupa usio na Nyama.

Mama yako hatoi hata neno ingawaje ni mpenda haki na Amani. Anajua kabisa mume wake alikuwa Ana madhumuni gani kwa kuanzisha ccm, na yeye ndiye alikuwa anawapikia chai vikao vilipokuwa vinafanyika msasani au Butiama…Huku watoto wa kiume Kama wewe mkiwa sebureni na baba yenu. Sasa ni Zamu yenu, amekeni na kemeeni huu utekaji, utwesaji na hizi habari za kupotezwa.
Familia yenu inajua A-Z zote za uundwaji wa hii ccm.
Kama malengo yake ya uundwaji ni tofauti na matendo yake ya sasa, amkeni na mkemee kwa wingi wenu. Kukaa kimya juu ya kinacho endelea maana yake familia yenu inakubariana na kinacho endelea.
Fuateni mfano wa Judge Warioba either mu- support au mpinge haya mambo ya kijinga yanayo inajisi nchi …tutawaelewa.
 
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.

Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.

PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Aachiwe huru yeye kama nani? Yuko Juu ya sheria au afanyiwe hukumu ya Haki?
 
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.

Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.

PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
wapinzani gani hao ambao hawana imani na Taasisi za umma hususan za kusimamia michakato ya kidemokrasia.

kwani serikali ni nyumba ya ibada kwaajili ya kuaminisha upinzani wawe na imani fulani?🐒
 
Dawa ya CCM ni kuipindua nch...
yaani nchi ipinduliwe kama ilivyopinduliwa chadema na dereva mropokaji asie na maono right?

sasa si mpaka atokee kiongozi lofa, kibaka na tapeli kama huyo alieipindua chadema gentleman 🐒
 
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.

Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.

PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Hakuna lolote
 
Back
Top Bottom