Lisemwalo kuhusu Bongo movie

Kama mzazi mwenye watoto wa kiume inaumiza mno...! Sijui mtoto kama huyo alianza lini? Nani alimfundisha? Je wazazi wanajua? Inauma

wazazi wake wanajua tena hawataki hata wamuone na mwanaume wanajua anaenda kumfanya, mwenyewe anajichukulia kama demu, akitembea mikono anaitupa huko, kibaya zaidi girls wanampenda sijui hata kwanini!.
 
Inaumiza mno...!
 
hivi hawa hawakuchukua fomu ya kugombea hata udiwan eh
 
hivi hawa hawakuchukua fomu ya kugombea hata udiwan eh

itakuwa kwenye kile chama cha kaka yao yule anayewaitaka wakale bata kwa jasho la walalahoi wa tanzania
 
hivi nikuulize swali la kizushi,nini kinapelekea mtoto wakiume akajipodao na kutaka kufanana na dada zake,hivi wana sukumwa na nini hawa wenzetu

Sii wanasukumwa na 0714 0. Kumake power ya kujiona kuwa wana haki ya kudeka, kwani nao ni watoa huduma kwa Tundupori.
 
Kama mzazi mwenye watoto wa kiume inaumiza mno...! Sijui mtoto kama huyo alianza lini? Nani alimfundisha? Je wazazi wanajua? Inauma

brother unajua millennium hii kulea mtoto wakiume inahitaji uangalizi wajuu kushinda hata wakike,umchunge kuanzia mienendo yake shule,marafiki zake mtaani na njiani kote anakopita..baba na mama walipata tabu sana kuwalinda dadazangu,leo napata tabu yakuwalinda wanangu wakiume...!!!

i
 
kunafamilia zingine zinasikitisha sana,dada kahaba alie kubuhu,kaka choko,mdogo wao mteja..!!sio utani nikweli kabisa nishaishuhudia hiyo familia hapa Mwanza
 
lakn wakuu mbona wadadA wapO weng tU tenA ni warembO kwaninI umshikishe ukutA mwanaumE mwenzakO.kamA yeyE ni bwabwa tuwaache wakae na ushogA wao mwisho wa sku wataacha.wenyewe ,kuendekeza udhaifu wa ngono ni kujipa aibu sisi wenyew as men.sisi wanaume ndo chanzo hawa wenzetu kuwa na tabia hyo cha msngi ni kuwapotezea tu.
 
itakuwa kwenye kile chama cha kaka yao yule anayewaitaka wakale bata kwa jasho la walalahoi wa tanzania

tema mate chinii wee mkaka...kaka yangu hana chama
 
Kwani we nani kakwambia wadada ndio wa kushikishwa ukuta? Astaghafilulahi...
 
Watakwambia 'pale scene ilikua inataka nimnong'oneze sasa kamera ikanasa tukio kabla' teeehe. Sikitiko la moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…