Lipumba yuko 'blackmailed'?

Saivi yuku na polisi bega kwa bega akati..walimpaga kipigo cha mbwa mwizi

ilikuwa hivi siku ile watu walipigwa na wengine walikamatwa na hao hao polisi leo wamekuwa msaada mkubwa sana kwake duh tuliangalie hilo kwa jicho la pili.
 
Tatizo la viongozi wengi wa upinzani hawakuwa wapinzani wa kweli, hawakuwa na sababu ya kuwa wapinzani na wengine ni watumishi wa chama dola walioajiliwa upinzani.
 
Hapa unanikumbusha tu mambo ya Don Corleone ,
Na Mwanae Michael alivyokua anamweleza mchumba wake kwamba baba yake ofa anazotoa huwezi kataa ,mchumba akauliza kwa nini ,akaishia kuambiwa ukikataa ni chid chid bang bang
Mkuu umenikumbasha hicho kitabu. Don Caleone alikuwa balaa. Ila Don Michael ndiye alipanga mpango makali zaidi ambao hata baba yake angekuwa hai asingeamini. Nakumbaka Tesso alivogundua kuwa hakuna namna akamuuliza Hagen, Isn't there a way of getting me off the hook? Jamaa akasema No way, mwisho Tesso akasema "tell Michael it was busness". Sasa unaweza kuta kuna mambo kama hayo kwenye ishu amabzo sisi wengine tunaziona za kawaida tu.
 
Mtu amegombea mara 4 na zote amekataliwa hakuwahi kupata hata asilimia 5%

Pasco,

Ukishasema asilimia, hakuna haja ya kuweka alama ya '%' tena, kwani unarudia mara mbilimbili... nina imani mimi kukukosoa, utaichukulia positively..
 

It was business,nothing personal........
 
It was just a good timing intacts, Dr Slaa pschologically alikuwa affected kwa kitendo cha LOWASSA kuingia CHADEMA , isitoshe kama mgombea. Dr alitoka mbali na CHADEMA. CCM waliheat moyo wa Dr SLAA at the right time.
Excellent observation. You are politically astute!
 
Umenikumbusha lamwai...
1. Alisimamishwa kufundusha pale UDSM
2. Akanyang'anywa nyumba ya chuo
3. Leseni ya kuwa advocate nadhani akanyang'anywa
4. Akakimbilia Zanzibar ambako alikutana na yale yale
6. Akaomba msamaha...
7..... Nadhani akawa mwanasheria wa chama

SI mchezo
 
Mlitaka seif aachwe ainyooshe Zanzibar bila kusumbuliwa

BTW CUF Zanzibar wako better off than CU wa huku bara

Kama vipi CUF watengane tu and CUF Zanzibar waungane na CHADEMA waunde chama kingine
 

Na udiwani pia walimfuta
na ubunge pia ulifutwa
alinyang'anywa kila kitu
na aliporudi NCCR akawa na ugomvi na Mrema na Marando..Mbatia ndio akamshinda uchaguzi
ilikuwa mkosi juu ya mkosi....hadii alipomuomba msamaha mkapa
 
Mlitaka seif aachwe ainyooshe Zanzibar bila kusumbuliwa

BTW CUF Zanzibar wako better off than CU wa huku bara

Kama vipi CUF watengane tu and CUF Zanzibar waungane na CHADEMA waunde chama kingine
Kimsingi CUF ilianzishwa bara...
 
Hivi ni kweli cuf walipiga kura ya kumkataa na kumkubali lipumba?
 
Inahitaji kuwa na KIBALI vinginevyo taasisi ndio Huwabeba viongozi wakaonekana MAARUFU, tuliaminishwa hapa umashuhuri wa Lipumba lakini muangalie leo anavyoweweseka,yuko wapi Slaa na Wassira hata yule Sitta ni kama wamepotea hivi tofauti kidogo ni kwa Eddo na Lyatonga hawa labda wana Kibali maana bado wanapeta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…