Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
Lipumba lazima aambiwe ukweli. Labda kama anabeba ajenda ya siri kwa msaliti Zitto.Well said... mkuu
Unajua ukimchekea nyani utavuna mabua.Umeniwahi mkuu, na unatakiwa uitwe tranquilizer.
Lipumba anatakiwa akubali ukweli kwamba hata kama akiwekwa na UKAWA, hatachaguliwa kwa kuwa tu ni ukawa kwa vile pia hana influence kubwa kwa bara.
Ninajua huyu ndugu ni msomi atarejea maafikiano ya awali kwamba katika kuteua wagombea ndani ya ukawa, watazingatia pia mafanikio ya chama katika awamu iliyopita ambapo lipumba hakuwa na kura za kujisifia kiasi hicho.
Kama anang'ang'ania kugombea uraisi akidhani atapita kwa kuwa watu wanasema hata jiwe la ukawa watalilpigia kura, siyo kwa namna anavyodhani yeye. Lipumba asimamie chama kishinde Zanzibar ambako kaachiwa nchi nzima, na huku bara aachie wengine. Tamaa si nzuri na mwisho wake ni tabu.
Ninaimani amesikia na washauri wake watamshauri vizuri sasa.
Yupo kama mbuni.Alikiri kumsaidiq JK kushinda. Huyu nae ana matatizo kichwani mwake
Huyu naye ni kama boga sijui. Hapishani sana na yule Dr. boga wa REDET.Lipumba is another hopeless spent force. Mlio karibu nae mwambie afanye talling ya kura tangu agombee urais then afanye analysis! Ndio maprofesa wa bongo
Lipumba its true tunataka mchango wako katika kulifikisha taifa a step ahead but the way I see it ...if u become a member of parliament we can benefit more than fighting for a position you will never get..
kwa nini msimchukue LowassaLipumba lazima aambiwe ukweli. Labda kama anabeba ajenda ya siri kwa msaliti Zitto.
Hatutaki kusema mengi kuhusu huyu Lipumba, ni mbinafsi hakuna. Unakumbuka kampeni zake za mwaka 2010. Kuna CD ilimrekodi anavunja miiko ya umoja wa nchi yetu. Leo hii inajipa umaarufa wa kupandikiza kama Lowassa. Hovyo kabisa Lipumba.Hivi UKAWA hawakuwa na vigezo vya kumpata mtu atakaye peperusha bendera ya UKAWA kwenye nafasi ya rais JMT?
Kama hawakuwa na vigezo, they are hopeless na hawako tayari kuongoza nchi.
Kama walikuwa na vingezo vya kumpata mpeperusha bendera ya UKAWA na sasa kuna chama hakitaki kufuata hivyo vingezo, then they hopeless na hawako tayari kuiondoa CCM madarakani.
What is the solution? Stick kwenye vigezo mlivyokubaliana tangu mwanzo.
Kama kuna chama hakitaki, vunjeni huo muungano kila chama kiende kivyake. Lakini one thing vyama vyote mnavyounda UKAWA msahau kabisa kuishinda CCM. Huo ndio UKWELI mchungu.