Mmeshaanza fitna,hamtobaki salama.mwiba uingiliapo ndipo utokeapo.UKAWA wanaxo taratibu ealizojiwekea kumpata mgombea,sasa mnamshambulia lipumba kwani si kafuata kanuni?!why uone Dr ndio anafaa wengine wadione prf ndie anafaa then kura ya kikao iamuwe.halafu hamuwezi kuacha kumtaja zito au bado mnamhitaji?!ukishamuacha mke usiwe na sababu ya kumtajataja,vinginevyo bado utakuwa unampenda.Tunadili kati ya prof na Dr nani kikao kimpe kura ili ccm ilale,lakini kwa hizi statement zinaxoonyesha tunamchukia Fulani hstutafikia lengo.