Lipumba ,Slaa kutinga Dodoma kesho !

Lipumba ,Slaa kutinga Dodoma kesho !

Nafikiri hawa kundi la HAPANA watahitaji BACKUP ,kama hiyo habari si kweli basi iwe kweli kwani massage itawafika huko Tundulu ni kuzidi kuonyesha mshikamano ila tunduru mbali sana.

Kwa hiyo hawakai watanzania au? Acha ubaguzi
 
Nawatakia mema tu viongozi wa ukawa hao ndio watakao ikomboa nchi toka kwa intalahamwe ccm.na kuleta maendeleo nchini kwetu
 
...kosa jingine la mzee 6 ni kudhani wana ccm wote hakuna ukawa,asstmption mbaya sana. Hii ni fedheha kubwa sana kwa Hama Rashid,maana kaisaliti ukawa,cuf,wananchi....
 
Back
Top Bottom