Lipumba ,Slaa kutinga Dodoma kesho !

Lipumba ,Slaa kutinga Dodoma kesho !

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Kuna habari zisikuwa hakiki kuwa Mheshimiwa Ibrahimu Lipumba na Mheshimiwa Slaa wakifuatana na njemba zingine za uKAWA kutinga katika viunga vya majengo ya Bunge huko Dodoma kesho mida za asubuhi ,haijulikani haswa wanafuata kitu gani lakini wajuzi wa duru za kisiasa wanasema huenda wanakwenda kuwapa nguvu na misimamo wale wote waliopiga kura ya HAPANA au watatumia uwepo wao kuwapa ulinzi na kuondoka nao ,hizi habari bado sijaziamini kwani mtoa habari ni jamaa wa ccm anaeishi Dar resalama ,kuna mtu kasikia zengwe hili la Ukawa !
 
hata kwenye mpira wachawi hutembelea metch
 
Tafuta habari kamili, lete, pia kumbuka ku-edit makosa ktk bandiko , mfn. neno Dar-es-salaam
 
Kuna habari zisikuwa hakiki kuwa Mheshimiwa Ibrahimu Lipumba na Mheshimiwa Slaa wakifuatana na njemba zingine za uKAWA kutinga katika viunga vya majengo ya Bunge huko Dodoma kesho mida za asubuhi ,haijulikani haswa wanafuata kitu gani lakini wajuzi wa duru za kisiasa wanasema huenda wanakwenda kuwapa nguvu na misimamo wale wote waliopiga kura ya HAPANA au watatumia uwepo wao kuwapa ulinzi na kuondoka nao ,hizi habari bado sijaziamini kwani mtoa habari ni jamaa wa ccm anaeishi Dar resalama ,kuna mtu kasikia zengwe hili la Ukawa !

Kwa Taarifa hii, KESHO TUTAZAMIE MAANDAMANO YA POLISI SIKU NZIMA DODOMA. Tehe tehe!
 
Wanakwenda kuwaona wazalendo wenzao, natamani na Jaji Warioba awepo..........kama hizi taarifa ni za kweli basi Mungu awatangulie katika safari yao maana mwovu anapanga mengi juu ya hawa mashujaa wa hii Katiba.
 
hii ni dharula , huwezi kujua mkuu .

Nafikiri hawa kundi la HAPANA watahitaji BACKUP ,kama hiyo habari si kweli basi iwe kweli kwani massage itawafika huko Tundulu ni kuzidi kuonyesha mshikamano ila tunduru mbali sana.
 
Hawa wazee wahuni wanafikiri wataiwa tena Chamwino kugonga juice
 
Makamanda lazma kesho dodoma shughuli zisimame kwa muda kuwapokea wazalendo wetu viva ukawa daima
 
Nafikiri hawa kundi la HAPANA watahitaji BACKUP ,kama hiyo habari si kweli basi iwe kweli kwani massage itawafika huko Tundulu ni kuzidi kuonyesha mshikamano ila tunduru mbali sana.

mzee kuna uwanja wa ndege pale mbesa na pale halmashauri ya wilaya.
 
Back
Top Bottom