Lipumba: Mkapa alisaini mkataba kuruhusu makampuni kutoa mchanga nje, yatatubana kwa nguvu zote

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,984
19,285
Profesa wa Uchumi Ibrahimu Haruna Lipumba amesema hali ya uchumi ilipokuwa mbaya na Mkapa akiwa rais, mkapa aliingiza sheria mpya ya madini ambayo iliyapa mianya makampuni ya nje kuchukua karibia kila kitu na nchi ikawa haipati chcochote.

Anasema tuliingia mkataba na benki ya dunia ya kuweka guarantee katika uwekezaji amabayo ilikuwa inatubana mashirika ya kimataifa kuchukua kila kitu.

Na mashirika ya kimataifa yatakuja kutubana juu ya hili na ianapaswa sasa kuwa na uzalendo kukabiliana na jambo hili.

 
Profesa wa Uchumi Ibrahimu Haruna Lipumba amesema hali ya uchumi ilipokuwa mbaya na Mkapa akiwa rais, mkapa aliingiza sheria mpya ya madini ambayo iliyapa mianya makampuni ya nje kuchukua karibia kila kitu na nchi ikawa haipati chcochote
Anasema tuliingia mkataba na benki ya dunia ya kuweka guarantee katika uwekezaji amabayo ilikuwa inatubana mashirika ya kimataifa kuchukua kila kitu
Na mashirika ya kimataifa yatakuja kutubana juu ya hili na ianapaswa sasa kuwa na uzalendo kukabiliana na jambo hili

Bwana Yule, pro-pesa pumba katika ubora wake. Apewe ukuu wa wilaya (singida).
 
kwa hiyo tuendelee kuibiwa, hawa ndo ma professor kumbe doctor jameni au???.
 
Back
Top Bottom