Lipumba, mdhamini mtoto aliyekojolea kurani

CUF wanafiki sana ndio HAKI SAWA aliyekojolea au waliochomewa Makanisa hawana HAKI
Nasema wasitawale Bara hata Visiwani na waliokp Rumande wasiachiwe mpaka mkono wa Sheria upite sio pumba sorry liPUMBA
 
Huyo ndiye Alhaji Lipumba
 
kwani wakiristo wanaishi angani? kwanini 2010 waliamua kumpigia DK SLAA? mikoa yenye wakiristo wengi kama mBeya ndio Dk slaa alipopta kura nyingi. au unataka akili finyu gani?
slaa alipigiwa kura na wasomi sio vilaza kama waliompigia kura kikwete..wewe...meza finyu....angalia maeneo yaliyofulia ndo slaa hakushinda mfano...lindi,mtwara,tanga,morogoro,kigoma,tabora ila kwa wasomi na maeneo yalioendelea alishanda sana tu mfano...mwanza,bukoba,moshi,arusha,mbeya na mara dar ilikuwa sandakalawe maaana kulikuwapo wazaramo wengi kidogo na wanachuo hawakupiga kura...
 
Jihadharini na waomba Urais kama Profesa Lipumba. Hafichi hisia zake. Si ajabu ni mfadhili wa Ponda Movement.
 
Habari wana jf kwanza poleni sana kwa shuguri za ujenzi wa taifa linalo chechemea, ni mda mrefu sana nimechunguza ktk baraza ili kumekuwa na hali inayonisikitisha na inayonivunja nguvu, ktk mijadala unayohusu dini mara nyingi nimeona wadau badala ya kujadili ni namna gani tunaweza kuindoa hii sumu ya udini, watu wamekalia kushambuliana tu, kila mmoja akivutia kamba kwakwe, sasa lengo lenu kuu ni lipi kuikata kamba au vipi, hivi kati yenu ni yupi mwenye vielelezo kwamba anachokiamini ndio sahihi ni yupi, nani aliyefanya mawasiliano moja kwa moja na mungu kwamba yeye ndio yupo sahihi, wote tunafuata maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa na walio tutangulia, mbona hawa wenye imani tofauti na zenu sijawasikia wakilalama kama nyinyi, wacheni tabia ya kujiona bora kuliko wenzenu, na kwa taarifa yenu kulingana na imani yangu nyinyi wote fire, coz mnakashifiana wakati ktk vitabu vyenu mnavyovifuata vimekataza mambo mnayoyaendekeza hapa, iki sio kipindi cha kujinasibu kwamba mimi dini yangu ni bora, iki ni kipindi cha kutafakali jinsi ya kuondosha umaskini ndani ya nchi yetu na si kipindi cha kupiga soga za udini, kila mmoja abaki na imani yake, na kama kuna mtu anaona imani yake inakandamizwa atumie akili za ziada kujiondoa ktk kadhia hiyo, kwa leo nimeishia hapo, tujichunge na ndimi zetu.
 
Sio kweli kwamba vitabu vyote vinakataza hayo unayoyasema. Haya mambo hayawezi kuisha kama utawala wa nchi utaendelea kuyalea. Na ukizingatia kwamba kuanzia utotoni hadi ukubwani dini moja inafundisha kuwapenda na kuwaombea watu wote na nyingine inasisitiza kashfa dhidi ya watu wote wasio wa dini hiyo (kwa mfano soma waraka kwenye post#4)
kazi makini inabidi ifanyike kuondoa haya matatizo.
 
Humu ndani ya Jf naona kuna vilaza wa udini wengi, hakuna udini ndani Dr. Slaa na Chadema, Mikoa yote yenye vijana wanaotaka mabadiliko na kuchoshwa na CCM, ndio waliompa kura nyingi Dr.Slaa, na Chadema kwa wingi, mfano ni
Mwanza, Mbeya, Arusha, vijana wamejua nini maana ya mabadiliko katika kudai haki zao, No Kuuza kura kwa Mafisadi,
 
Sio kweli kwamba vitabu vyote vinakataza hayo unayoyasema. Haya mambo hayawezi kuisha kama utawala wa nchi utaendelea kuyalea. Na ukizingatia kwamba kuanzia utotoni hadi ukubwani dini moja inafundisha kuwapenda na kuwaombea watu wote na nyingine inasisitiza kashfa dhidi ya watu wote wasio wa dini hiyo (kwa mfano soma waraka kwenye post#4)
kazi makini inabidi ifanyike kuondoa haya matatizo.
Upo sahihi wakati wakristo wanafundishwa upendo na kusamehe waislamu wanafundishwa chuki na visasi
 
nani kakuambia wakristo wana akili finyu kiasi hicho cha kuchagua raisi kwa vigezo vya udini? yaani nimeanza amini tanzania hatuwezi endelea... kwa stairi hii bora waruhusu uraia wa nchi mbili tu....tatizo tuna vilaza wengi hapa

Mtume Mohammad
 
tanzania udini ni UISLAM. SIJASIKIA WAKIRISTO WAKIITWA WADINI TANZANIA HII

Sasa kama mtu hataki watanzania wote wapate huduma za kijamii eti kisa zinatolewa na makanisa si ndi udini wenyewe huo?
 
CUF wanafiki sana ndio HAKI SAWA aliyekojolea au waliochomewa Makanisa hawana HAKI
Nasema wasitawale Bara hata Visiwani na waliokp Rumande wasiachiwe mpaka mkono wa Sheria upite sio pumba sorry liPUMBA

Acha kashfa wewe. Lipumba ana umri wa baba yako mzazi kama sio baba yako wa kambo
 
Ile kesi inabidi ifanyike chamber court sababu ya usalama wa huyo mtoto....na wala asijulikane kwa jamii..ikiwezekana ahamishwe kwenda mikoani...akaishi huko si Mbagala tena!
 
Back
Top Bottom