naona wanaingia live ktk kipindi cha dkk 45 za kuipigia debe ccm
mbona hakuna CDM au CCM? uchaguzi wa hawa waliopo umeangalia nini?
Sioni mwanamapinduzi hapo, sioni kiongozi hapo, sioni hata mmoja anayemfahamu vizuri Mwl. Nyerere na falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea. Wote ni waganga njaa tu....
CDM would steal the show.CDM wata mu interview presenter.
Wameangalia vyama shirika na CCM
hahahahhah na CCM je?
Naona wanaingia live ktk kipindi cha dkk 45 za ITV...