Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
- Thread starter
- #61
Naona Mbatia alijipanga sana leo kwenye kipindi kataja sifa kuu nne za kiongozi safi sana!!! Utupe Mrejesho Nyuma Mtavyokaa na TCD pamoja na Rais
Tatizo la mbatia ni kuchukua Idea nzuri aliyonayo na kuifanya ngumu sana kumeza halafu kuwalazimisha watu kuimeza.Huwa anatumia nguvu nyingi kueleza mambo mazuri vibaya zaidi.Otherwise anavyo vitu vizuri.