Lipumba, Mbatia na Cheyo ndani ya dakika 45 za ITV

Acha uongo wewe Molemo Chadema wamealikwa wamekataa kuhudhuria.

Hata CCM wamekataa, ila wana haki. Tumechoka na maneno maneno bla, bla... Sasa hivi tunahitaji vitendo. Chadema wanajijenga vijijini, CCM wasingekuwa na la kuongea kwa sababu ndio wanaingia mikataba na wezi kwa kofia ya kuwekeza. Nadhani wako busy kuvunja mikataba isiyo na manufaa kwa taifa. Vinginevyo hawatakuwa na cha kutueleza 2015!
 
Naona Mbatia alijipanga sana leo kwenye kipindi kataja sifa kuu nne za kiongozi safi sana!!! Utupe Mrejesho Nyuma Mtavyokaa na TCD pamoja na Rais
 
jamaa walichelewa puliza kipenga cha kuanza iponda CDM.Ila Cheyo alianza kupapasa.
 
CDM hawajaalikwa kama chama.Wamealika individuals....

siasa za TZ za ajabu sana. TCD ni NGO ya Cheyo na Lipumba na Kiraracha. Yule mtangazaj alkuwa anazungumza kama vile hawa mizee alokuwa nayo studio haina uhusiano na TCD. amekomaa kupromoti chadema.
 
CDM ni Lifestyle lazima itajwe either kwa uzuri au kwa ubaya.

Kweli umenikumbusha jinsi watu wanaa mavazi ya CDM wana furahia mikutano yao,wana furahia nyimbo zao wanavyozipenda hoja zao.Kwa ujumla siasa za Bongo bila CDM watu wasingeangalia hata bunge.
 
CDM ni Lifestyle lazima itajwe either kwa uzuri au kwa ubaya.

Cheyo kaamua kulazimisha kuiponda chademqa wakati akihitimisha. Anadai tupambane na umasikini na sio kupambana na ccm. Amekuwa very inconsistent. Anadai tuache mabo ya vuguvugu na vurugu tupambane na umasikini. wakagti huo huo wakati anaanza alisema watu wanantafuta uongozi kwa rushwa, hata u-NEC ambao hauna mshahara, akiuliza ni nini wanankitafuta huko mpaka kutishiana bastola? According to Cheyo tatizo ni umasikini sio CCM. Sasa sijui umasikini unakuja wenyewe na unweza kondolewa bila uongozi makini ambao umewashinda CCM kwa miaka 50 sasa? CCM kutAFUTA MADARAKA KWA RUSHWA SIO TATIZO BALI TATIZO NI UMASIKINI? What a confusion and inconsistency!
 
CCm ni bwana wa kiafrika anayekula kilo moja ya Nyama pekee yake halafu anapekeleka kilo moja kwa familia na ikifika mezani anawekewa wa kwanza ili apate nguvu ya kuongeza uzazi holela wakati wengine wanakufa.Wao huwa wana vipindi vyao pekee yao na marudio pia

kwi! kwi! kwi! kwi! starehee muno! mie najipitia tu jameni!.
 
mbona hakuna CDM au CCM? uchaguzi wa hawa waliopo umeangalia nini?
Uchaguzi umeangalia vyama dhaifu lakini wamesahau kuwaalika CCM kwa sababu waliopo hapo hakuna tofauti na CCM
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Cheyo kaamua kulazimisha kuiponda chademqa wakati akihitimisha. Anadai tupambane na umasikini na sio kupambana na ccm. Amekuwa very inconsistent. Anadai tuache mabo ya vuguvugu na vurugu tupambane na umasikini. wakagti huo huo wakati anaanza alisema watu wanantafuta uongozi kwa rushwa, hata u-NEC ambao hauna mshahara, akiuliza ni nini wanankitafuta huko mpaka kutishiana bastola? According to Cheyo tatizo ni umasikini sio CCM. Sasa sijui umasikini unakuja wenyewe na unweza kondolewa bila uongozi makini ambao umewashinda CCM kwa miaka 50 sasa? CCM kutAFUTA MADARAKA KWA RUSHWA SIO TATIZO BALI TATIZO NI UMASIKINI? What a confusion and inconsistency!
Cheyo hawezi kuwa na jipya Mbunge Yeye, Mwenyekiti wa Chama yeye, Mjumbe wa Halmashauri kuu ya UDP ni yeye inawezekana pia ni katibu wa Chama maana sidhani kama chama kina viongozi wengine walio Hai kiitikadi maana sijasikia na wala sijasikia UDP imefanya mkutano wa Halmashauri kuu.
 
Back
Top Bottom