Lipumba: CCM na Chadema hawaiwezi rushwa!

jamaa alikuwa analinda ofisi pale buguruni POLOPESA UCHWARA
 
Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
Na wezi wa ruzuku wako wapi?
 
Yupo kwenye mission maalumu! Anajijua hana impact ila kwa kuvuruga anaweza kwani waliomtuma hawana shaka nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…