Lipumba awavaa viongozi CHADEMA


tatzo nyievijana mna matatizo mna mapenzi ya chama co mapenzi na nchi yenu mtu anapotoa tatzo la chama tafakar kwanza ivi kwann azungumze ivo
 
Siasa si uadui wala chuki ndo maana kiongozi fulani anaweza kupondea sana chama fulani lakini keaho akajiunga nacho. Mfano juzi kati tu waziri fulani kamsifia kiongozi fulani wa upinzani kuwa ni mchapa kazi
 
zilipendwa hizo we gamba huu si wakati wa kufukua makaburi ukawa unawasumbua ccm
 
Kwa hiyo inabidi act wachukue nafasi ya CUFCCM???
 

Kwani UKAWA IMEISHIA WAPI
 
Yani ukawa ni unafiki tu, lipumba mnafiki,Mnyika mnafiki,Mbowe mnafiki,mbatia ndo mnafiki wa mwisho wanawahadaa watanzania kuwa watawakomboa wote wezi tu,
 

Acha ukuda wewe..hii thread ya mwaka 2011 unaileta leo! Mxxx
 

Nonsense!! Huu ni uongo uliokubuhu CCM kweli mnafanya kila hila kila kona UKAWA uvunjike. Ukawa hauwezi kuvunjika kwa propaganda kama hizi huu ni uongo mtupu kabisa
 
Yani ukawa ni unafiki tu, lipumba mnafiki,Mnyika mnafiki,Mbowe mnafiki,mbatia ndo mnafiki wa mwisho wanawahadaa watanzania kuwa watawakomboa wote wezi tu,


Hii thread ni ya karne 1 nyuma, imefufuliwa hapa kupunguza makali ya UKAWA mbona mara hii msumari umeganda..! ccm hamna mpenyo
 
Siamini prof lipumba anaweza sema hayo maneno. Sijui huyu alieleta hii mada ni nani
 
Mada ni ya 2011 imefufuliwa hata bana KWELI ukawa inawatiiiiiiiiaaaaaaaaaamshawashaaa
 
Stori ya mwaka 2011 ambazo zilisha exp kweli haya majanga
 

tukiwaambia viroba hamnazo,mnakuja juu. Ndio maana mkaundiwa Bavicha ( baraza la vichaa chadema) hebu jipime na huo uzi na mchango wako huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…