Wananchi wengi wanaamini Lipumba na CUF wana nafasi kubwa ya kuiangusha CCM uchaguzi ujao kutokana na msimamo usioyumba wa viongozi wa juu wa CUF.
Wananchi wengi wanaamini Lipumba na CUF wana nafasi kubwa ya kuiangusha CCM uchaguzi ujao kutokana na msimamo usioyumba wa viongozi wa juu wa CUF.
Lipumba a threat wa CCM? Labda wangesema Balali!
Mkuu ES ungefafanua issue ya mgawo au yeye kupewa nafasi UN thru CCM....
Mtanzania siasa ni Hamasa...kama kiongozi lazima hivyo vitu viwepo...na hapo ndio unaweza jua wafuasi wako unao au Huna...Ujuue hiki si kipindi cha kampeni..kupata Mass kubwa namna hii ni kuonesha Mapenzi kwa viongozi na Chama.
Pia Suala la watu kupoteza muda ni comparative term..wengi wanashinda hapa kijiweni JF wanafanya nini na wao? acha UCCM wako..
-Pia Kumbuka Leo Jumapili watu wapo mapumzikoni...
- so Wanachama, wachabiki na serious opposition lazima walikuwa na Hamu na mwenzao...
- au Ulitaka azomewe au kupigwa kama mawazir wa CCM...
Waungwana,
Hivi hayo maandamano ya nini? Mtu katoka kufanya kazi zake na kulipwa vizuri, anarudi nyumbani na kupokewa na maandamano makubwa? Labda nielewesheni, where are our priorities? Huu muda wa kushinda airport kupokea na kusindikiza wanasiasa tunaufidia vipi?....
Labda vijana muanze kufikiri tofauti na kuachana na mambo ya kukuzwa na kutukuzwa. Vinginevyo tutaendelea mambo yale, siasa zile zile, watu wale wale, huku wananchi wanazidi kutumbukia kwenye maskini na kazi zao ni kusukuma magari ya wanasiasa.
Lipumba a threat wa CCM? Labda wangesema Balali!
Mkuu ES ungefafanua issue ya mgawo au yeye kupewa nafasi UN thru CCM....
Zanzibar hakuna viwanja vya Jangwani..hawa wananchi wengi ni wa nchi gani? hii tanganyika au hiyo zanzibar?
..hivi msimamo wa viongozi wa ccm juu ya kushinda uchaguzi ushawahi kuyumba?
..ni jinsi ninavyoyaona mambo tu! si zaidi!
Mtanzania,
Hili lilipangwa siku nyingi kama wiki tatu au nne, nikahoji maana ya kufanya maandamano kupeka mtu anayerudi likizo kutoka kutumikia tajiri mwingine.
Ni ukosefu wa kazi na ubunifu wa itikadi na sera unaofanya vyama vya Upinzani vionekane ni vihiyo kama CCM walivyotaka kuandamana kumpokea Kikwete kupewa Cheti cha Sullivan!
Zanzibar hakuna viwanja vya Jangwani
...Kuungwa mkono itakuwa ni sahihi kabisa, kwani miaka yote Jangwani imekuwa ikijaa watu, lkn inapofika wakati wa kura hakuna kitu, kiasi watu kupiga kelele za kuibiwa kura.....kwahiyo jangwani ni SI unit ya kupima kuungwa mkono na watu? na si kura?
..kwahiyo jangwani ni SI unit ya kupima kuungwa mkono na watu? na si kura?
...Kuungwa mkono itakuwa ni sahihi kabisa, kwani miaka yote Jangwani imekuwa ikijaa watu, lkn inapofika wakati wa kura hakuna kitu, kiasi watu kupiga kelele za kuibiwa kura...
Tumedumazwa na CCM, ndio maana hata ujinga watu eti wanaandama kuunga mkono.
Kwanini usiunge mkono kwa kuchapa kazi zaidi?
Inabidi wapitie speeches za Obama na waone anavyosisitiza change na kufanya mambo tofauti na politics ambazo watu wamezichoka.
Sisi kila kitu kama CCM, hiyo change itatoka wapi?
Kama ulivyosema kipimo cha umaarufu wa chama sio Machingas wangapi walisukuma gari lako, bali mwaka 2010 utapata kura ngapi.