Elections 2010 Lipumba atafakari mbio za Uraisi 2015.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Gazeti la Jambo Leo.....linatuhabarisha ya kuwa Profesa Lipumba ambaye vilevile ni Mwenyekiti wa CUF bado atafakari kama atashiriki mbio za uraisi 2015....................

Nilifikiri baada ya kuona idadi ya kura zake zaendelea kushuka uchaguzi baada ya uchaguzi ulikuwa huu ni wakati mwafaka kuwajulisha wana-CUF wenzie ya kuwa sasa yatosha na wanachama wengine wanaojiona wana sifa wajitokeze na huku yeye akijikita zaidi kuimarisha uongozi wa chama chake lakini..............this is Africa.............tusishangae tukimwona Profesa akijitokeza tena 2015...........................mpaka kieleweke................ingawaje kwa maoni yangu binafsi kwa Lipuimba tayari kilikwisha kueleweka bayana.........................HACHAGULIKI NA HAKUBALIKI.........................mwisho wa mjadala........................
 
Atagombea kwa chama gani?maana mpaka kufikia 2015 hii ndoa ya CCM na CUF itakuwa imekamilika kabisa na kuunda chama kimoja kama ile ya TANU na ASP. Na kwa kuwa hicho kitakuwa na wenyewe asitegemee hata kidogo kupewa nafasi.
 
Na Maalim Seif?

It goes without saying. Ila mimi nadhani suala la Maalim Seif ni tofauti kidogo na Profesa Lipumba. Maalim Seif ana mvuto Zanzibar na ukweli kuwa bado ameweza kuongoza chama chake kupata viti vyote vya Pemba na baadhi vya unguja ni ushahidi tosha kuwa anakubalika huko visiwani. Profesa Lipumba yeye anazidi kupunguza kura za chama chake huku Tanganyika ikimaanisha kuwa watu wanaomkubali huku wanapungua siku baada ya siku.
 
Kura zikizidi au zikipungua tatizo lipo wapi ? Maana nionavyo hazina faida ila kwa wajinga wachache wasiofahamu namna gani uchaguzi wa Nchi hii unaendeshwa ! Hivi mnaelewa kuwa kinachoandikwa ndani ni tofauti na jalada ? Saasa kuanzia leo weka kwenye akili zenu kuwa kura ni jalada na uchaguzi ni yaliyomo ndani ya daftari.
 
Gazeti la Jambo Leo.....linatuhabarisha ya kuwa Profesa Lipumba ambaye vilevile ni Mwenyekiti wa CUF bado atafakari kama atashiriki mbio za uraisi 2015....................

Nilifikiri baada ya kuona idadi ya kura zake zaendelea kushuka uchaguzi baada ya uchaguzi ulikuwa huu ni wakati mwafaka kuwajulisha wana-CUF wenzie ya kuwa sasa yatosha na wanachama wengine wanaojiona wana sifa wajitokeze na huku yeye akijikita zaidi kuimarisha uongozi wa chama chake lakini..............this is Africa.............tusishangae tukimwona Profesa akijitokeza tena 2015...........................mpaka kieleweke................ingawaje kwa maoni yangu binafsi kwa Lipuimba tayari kilikwisha kueleweka bayana.........................HACHAGULIKI NA HAKUBALIKI.........................mwisho wa mjadala........................

Sikweli kama kura zimeshuka kila baada ya ychaguzi..ningefurahi kama ungekuja na trend na ukaonyesha zilivyoshuka KILA baada ya uchaguzi. Nijuavyo uchaguzi wa 95 alipata kura about laki 6 mwaka 2000 alipata milioni na usheei halikadhalika 2005. Ila mwaka 2010 baada ya yaliyotokea ndio zikarudi zikafika laki 6. Ukisema zinashuka kila baada ya uchaguzi toa takwimu.

Ila kwa maoni yangu CUF kinawakati mgumu kama chama cha upinzani. Mahusiano yake na CCM yanazidi kuchanganya wa Tanzania. More over siasa za Tanzania na label ya CUF kuhusishwa na udini na UDINI ulijengeka nchini mwetu tusitegemee hata siku moja CUF kufanya vizuri. Mgombea wake ni mzuri mno, ana uwezo wa kupambanua mambo, sera za chama ziko very clear na hata manifesto zao zinaandikwa kitaalamu sana. Nilipata bahati ya kuangalia ilani za vyama hivi..kwa kweli ni ya CUF pekee iliyoonyesha Projection ya mapato katika kipindi husika...vyama vingine vimejaa story tu bila kueleza source na projected application of the funds expected to be collected.

Kama isingekuwa huu upumbavu na uroho wa madaraka wa vioingozi hawa wa vyama na kwa kutumia stenghths za vyama hivi vikubwa CUF na CHADEMA, wangekaa chini na kuona uwezekano wa kuungan isha vyama vyao na kuwa na wagombea wenye nguvu, otherwise si CHADEMA wala CUF wakisimamo peke yao wenye uwezo wakushika dola. Ila kama lengo nikuongeza idadi ya wabunge na ruzuku watafikia lengo hilo.
 
Kila mtu alikuwa anadhani hivyo.. si Chadema wala CUF inayoweza kushinda bila kushirikiana, Lakini basi uchaguzi wa 2010 tumefunguliwa macho...
Chadema ni tishio ... tena sana ... tena bila ya CUF.... kama ilivyorihidhika kwenye uchaguzi wa 2010. Walie na mabadiliko ya katiba tu ili wasiporwe tena ushindi.
 
Kura zikizidi au zikipungua tatizo lipo wapi ? Maana nionavyo hazina faida ila kwa wajinga wachache wasiofahamu namna gani uchaguzi wa Nchi hii unaendeshwa ! Hivi mnaelewa kuwa kinachoandikwa ndani ni tofauti na jalada ? Saasa kuanzia leo weka kwenye akili zenu kuwa kura ni jalada na uchaguzi ni yaliyomo ndani ya daftari.

Mkuu, maneno mazito haya; yanahitaji ufafanuzi. Tumezoea kusikia mtu kashindwa kwa sababu kura zake hazikutosha. Sasa ukisema zikipungua au zikizidi si suala ujue unaleta mkanganyiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom