Myanguneni
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,192
- 276
wakati wenyewe ndio wanaoongoza kwa kuuza na kuila hiyo nyama, ukiwarushia wataziweka kwenye mifuko wakarosti
Una maana kama kuna mkristo ameamua kuvaa mavazi ya kislam na kisha kwenda kwenye mabanda wanapouza nyama za nguruwe basi waislam ndio wala nguruwe?
Unatushawishi kuamini kwamba makasisi wanaofungisha ndoa za jinsia moja makanisani hawapaswi kulaumiwa kwa sababu ndio ukristo unavyotaka?.
hhahahah, wengine tunakula huyo mdudu so mkirusha nyama ya kitimoto full kuving'ata na kuafaidaiseee babaangu nyinyi watu wa dar mnashindwa kukomesha maandamano kesho wakifanya maandamano numueni ngazi ya nguruwe na nyama ya nguruwe muwarushie muone kama hawata tawanyika
Kanisa gani?
.........Lipumba amesema wao (CUF) wameamua kujitwika dhamana ya kushughulikia suala la Ponda mpaka muafaka upatikane.
Ni imani yangu kuwa waislamu waliogoma kumsikiliza Mufti na Sheikh mkuu wa Mkoa wa DAR sasa watatulia baada ya kupata kauli ya Kiongozi wao wa Kitaifa (Lipumba).
Kwa upande mwingine sasa naanza kuamini kuwa Ponda ni utambi tu, mafuta ya taa ndio haya yalioamua kuchukua jukumu sasa.
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ambaye pia ni mgombea wa maisha wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho cha makabwela leo ameamua kuwa muwazi na kuweka wazi itikadi ya chama chake alipowataka WAISLAM nchini kutoandamana kesho.
Lipumba amesema wao (CUF) wameamua kujitwika dhamana ya kushughulikia suala la Ponda mpaka muafaka upatikane.
Source: ITV news, saa mbili usiku. Unaweza kutazama marudio saa 5 usiku.
Ni imani yangu kuwa waislamu waliogoma kumsikiliza Mufti na Sheikh mkuu wa Mkoa wa DAR sasa watatulia baada ya kupata kauli ya Kiongozi wao wa Kitaifa (Lipumba).
Kwa upande mwingine sasa naanza kuamini kuwa Ponda ni utambi tu, mafuta ya taa ndio haya yalioamua kuchukua jukumu sasa.
Haya ya CDM na CCM mimi siyajui, nalijua la CUF kwa kuwa wenyewe wamesema hivyo.
1. Jusa Ismail alisema CUF imeshindwa uchaguzi mdogo wa Uzini sababu kuna wakristo wengi
2. Kampeni za CUF 2000 zilifanyika misikitini wazi wazi
3. Lipumba ameahidi kumdhamini Ponda akiwataka Waislam kutulia
Hayo ya CDM kuwa chama cha Wakristo unayajua wewe.
Mwana mtoka pabaya,
Tumpe mtu sifa zake pale zinapostahili na kumsuta anapochemsha.
- Kama Lipumba anaweza kusaidia kuleta amani, nafikiri hilo sio jambo baya na anastahili pongezi. Tuelewe kuwa kila jamii (waislamu) au kila mtu (Ponda) wanayo haki ya kushughulikiwa matakwa au makosa yao kwa mujibu wa sheria bila ya hiyo sheria kupindishwa, hata kama hatuyapendi matakwa au makosa yao.
- Tatizo alilonalo Lipumba ni hii tabia yake ya kupenda kujiingiza kwenye masuala ya kidini kama vile yeye ni kiongozi wa kidini zaidi ya siasa. Kibaya zaidi ni pale Lipumba anapoonekana kuwa na upendeleo zaidi kwa watu wenye muongo mkali kidini (uislamu) hata pale wanapotoa matamko ya kishari-shari. Hili ni tatizo lake binafsi kwani sidhani kama Watanzania wenye akili timamu, wawe waumini wa dini yake (waislamu) au dini nyingine yeyote ile, watamchagua kama ataendelea kujichanganya na watu wasioitakia mema nchi.
Lolote tu maana ukisema Waislam wanakula kiti moto kwa sababu kuna jamaa yako,au umemuona mtu aliyejinathibisha na uislam anakula alafu ukasema wanakula wote sio sawa, ndio maana nikakupa mf wapo viongozi wa kikristo duniani wanafungisha ndoa za jinsia moja je ndio ukristo unavyotaka? Au matakwa ya makasisi hao?.kwa hiyo sio vyema kuwa na kuwajaji watu kwa kosa la mtu mmoja.
aiseee babaangu nyinyi watu wa dar mnashindwa kukomesha maandamano kesho wakifanya maandamano numueni ngazi ya nguruwe na nyama ya nguruwe muwarushie muone kama hawata tawanyika
Wana JF,
Jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari ITV na TBC pia. Moja ya habari ilivyorushwa hewani ilikuwa ikimuonesha Prof. Lipumba, Mwenyekiti wa CUF Taifa, akiwasihi waislamu wenzake (Nasisitiza hili kwa kuwa Prof alitumia neno "Nawasihi Waislam wenzangu kutokufanya maandamano yoyote kesho (leo) baada ya swala ya Ijumaa". Nilitafakari sana na kujiuliza mambo mengi, ni nani huyu Profesa Lipumba? Alizungumza kama Mwenyekiti wa CUF Taifa akiwasihi waislam wenzake wasifanye maandamao leo au alikuwa akizungumza "in his personal capacity as Prof. Lipumba?". Naomba nipate ufafanuzi wa hili kwa kuwa utangulizi wa taarifa hiyo ulimzungumzia Prof. Lipumba kama mwenyekiti wa CUF. Nitashangaa sana leo, kama kweli waislam wataacha kuandamana leo kwa kutii alichosema Prof. Lipumba, kwa kufanya hivyo, kwa maoni yangu, "any reasonable person will come to the conclusion that CUF and Islam in Tanzania are inseparable"
I submit