Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,496
- 272,148
Huyu mtu aliyoyafanya nchi hii hamkutakiwa kumruhusu kutia pua uwanjani .
Huku usoni sijui anapaka mafuta Gani,duu halafu kaishiwa angalia hivyo viatu,duu angalia hiyo tshirt,duu hiyo suruali



Ohoooo !!Huku usoni sijui anapaka mafuta Gani,duu halafu kaishiwa angalia hivyo viatu,duu angalia hiyo tshirt,duu hiyo suruali
mbele ya mil 100 ushindi ulikuwa wazi kabisaKwani walikuwa na matumaini ya kushinda Leo?
😆😆😆😆Huyu baba si aoe binti mdogo ili amuweke soft usoni amuoni mwenzie kapuya kwa Sasa Kawa kijana.
Huyu Professor Haruhusiwi Kula Vitu Vitamu, Unadhani Miaka Yote Hiyo AngeoaHuyu baba si aoe binti mdogo ili amuweke soft usoni amuoni mwenzie kapuya kwa Sasa Kawa kijana.
Kwanza mwenye namba yake anipatie haiwezekani mchumi kama huyu awe chakavyu kiasi hiki😁😁😁😁😆😆😆😆
Duh!!
😂😂😂Kwanza mwenye namba yake anipatie hawezekani mchumi kama huyu awe chakavyu kiasi hiki😁😁😁😁
Huku umekuja kufanya nini mpendwa nenda kule ukatembeze like 😁😁😁
duh!!Huyu baba si aoe binti mdogo ili amuweke soft usoni amuoni mwenzie kapuya kwa Sasa Kawa kijana.
Napita tu jirani😂😂Huku umekuja kufanya nini mpendwa nenda kule ukatembeze like 😁😁😁