Lipumba 'aisigina' CHADEMA bungeni

Chaguzi za Tanzania sio Huru Wala haki Ndio mana Mtu Kama Lipumba Ngumu kushinda hoja ya kugombea mala nyingi soma histor rais Abraham linkon Wa marekani kagombea mala ngapi hadi Ka win maiko sata Wa Zambia mala nyingi mwai kibaki kipenzi chenu tulichokipiga chini na hadi Gari ya kampeni mlipeleka kwa odinga amegombea mala nyingi mbona hamsemi iwe nongwa kwa Lipumba au mnaagenda ya Siri mbona mtikila hamumsemi mabepari lazima wamchukie Lipumba mkweli
 

That was a specific party issue bro ukizingatia tayari kesi ilikuwa mahakamani! Haiwezi kubadili ukweli huo hata kama utabisha mpaka kesho. Ilikuwa irrelevant kupoteza muda wa wananchi kujadili non issues.
 
Ni mbunge gani wa Cuf anayejenga hoja bungeni ?

Prof naona anataka kufanana na Kinana

CHADEMA sio kwamba hawajengi hoja all the time. Ila baadhi ya nyakati wanalewa sifa na kujisahau kama ilivyokuwa kwenye hii session inayoendelea. Ndio maana hakuna chochcote cha maana katika wiki ya mwanzo kilichojadiliwa zaidi ya wabunge kushindana matusi na misamiati.
 

Sumu ni dada yako nini?
 
Last edited by a moderator:

Bocho,jibu hili swali
.
.
By Mharakati Tanzania: Ni mbunge gani wa Cuf
anayejenga hoja bungeni ?
Prof naona anataka kufanana
na Kinana
 
Last edited by a moderator:

Mzee Wa Sumu + Sumu abraham lincoln aligombea mara ngapi???
 
Last edited by a moderator:
Huyu naye analake jambo. Kwa uprof wake hawezi kuona hoja za upinzani bungeni? Hawezi kuona manyanyaso yanayofanywa na spka dhidi ya wabunge wa cdm? ama kweli safari bado kitambo kidogo!

Note: Huku mitaani wafuasi wengi wa mlengo wa prof sasa ni supporters wa jk aidha kwa....au kwa ushabiki tu. Mbinu yao hapa nikuunganisha nguvu for 2015ccm.
 
Bocho,jibu hili swali
.
.
By Mharakati Tanzania: Ni mbunge gani wa Cuf
anayejenga hoja bungeni ?

Prof naona anataka kufanana
na Kinana

Ni wote wanapopata nafasi ya kuuliza na kuchangia. Hamna hata mmoja anayongea udaku.
 

Huyu bwana ameongea kile alichotegemewa akiongee. Ningemshangaa sana Lipumba kama angeongea positively kuhusu CDM kwa kuwa yeye ni mpinzaniwa wapinzani. Lakini nina swali kwa huyu profesa. Hivi anajisikiaje pale KM wa chama chake anapokuwa anasindikizwa na polisi na wana usalama kama ilivyokuwa leo uwanja wa uhuru kuingia kwenye gari kama kiongozi mkuu wa serikali? Hivi kweli inahitaji akili ya uprofesa kuona kuwa CUF ni sehemu ya Serikali na kwa sababu hiyo ni CCM damu damu? Karibu kwenye chama chetu prof. After all ulishagombea mara nyingi ukashindwa. This time ukicheza karata vizuri unaweza ukaukwaa umakamu wa rais 2015. Wewe endelea kupambana na upinzani hatimaye utashinda.
 
Ni kwa sababu chama chake kiliolewa na magamba, wanawake ni mpaka wawezeshwe ndo waweze lipumba bado hajawezeshwa na mwanandoa mwenzake
 

Kweli yule kada alicho kisema kule Morogoro hakukosea. Kwamba anakijua kitanda walicho patiwa mimba.
 
Daa sultan lipumba ameongea nae haya mzee magambani kapokee ujira wako we ndo umekosa mwelekeo toka mdogo wng mwisho anazaliwa mpaka leo unapgwa down
 

Mnapinga mnayofanya...mara CHADEMA kwenye fujo..nyie Liwale kwenye nini?
CHADEMA gharama helkopita,nyie Igunga mbona hamkutumia baiskeli?
CHADEMA waige CUF mikutano ya nn uchaguzi umeisha,leo mna V4C....!
 

Abraham Linkoln mara tatu...Michael Sata mara nne.....sasa Lipumba mpaka sasa ni mara nne anaenda ya Tano...aliezaliwa 1995 mpaka anakuja kupiga kura in 2015 Lipumba bado anagombea...na haoneshi kupanda always second runner up!
 

Nilikuwa nimejipanga kuku-attack kumbe uko serious...ni kweli katika hoja yako hii....mwanzoni wabunge wa CCM na CHADEMA walikuwa wamekaa kivita tayari kushambuliana na kuleteana maudhi...but Jembe Mnyika remained to be very strategic!
 

Profesa gani ? Kwa maneno anayoongea hapo sidhani kama profesa au ndio kuchumia tumbo? K ama hana kazi mwambie aje nimpe kazi ya kufagia workshop yangu ,i will pay him better i promise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…