Lipumba afiwa na kaka yake

Lipumba afiwa na kaka yake

mzee wa mawe

Senior Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
151
Reaction score
15
mwenyekiti wa chama cha wanainchi cuf amefiwa na kaka yake Hamad .H. Lipumba. mazishi yatafanyika Leo baada ya swala ya ijumaa, sinza palastina.
 
Pole kwake na kwa familia nzima. Hayo ni mapito ya @mmoja wetu. Hamad ametutangulia.
 
Hakika kwa mola kila nafsi itarejea....R.I.P. Mr. Hamad Lipumba
 
pole sana mh!. Mwenyezi Mungu akupe faraja.
 
pole kiongozi
RIP kaka
tulihimidi jina la Bwana kila wakati
 
R I P H H Lipumba..

Tunamuomba Mungu aisikile nakuiona swaumu yako kabla ya mauti Amina
Innah lilahih laijun..
 
Pole sana Prof Lipumba, Mwenyezi Mungu akupe uvumilivu wewe na familia yako katika kipindi hiki cha kuomboleza
 
If only we could maintain this kind of sanity in all threads!

Ukombozi usingekuwa mbali!

Pole Mh. Lipumba kwa kufiwa
 
Back
Top Bottom