Hivi ni kweli lipumba anaongoza chama cha watetea ushoga?Prof. Lipumba ndye MSOMI wa kwel kwan usimamia kwel hyo. Achana na Shivj, Mwakyembe na wengineo wasomi uchara wasakatonge mapumbafu hayo manafiki yanayokimbia kivili chao kwa kpndsha ukwel na kuugeuza kuwa uongo.
Chagadema ni wabaguzi, wachumia tumbo na wadini na wakabilaInterahamwe ni Wasaka Tonge
Ndio mana chagadema imeamua kuuwa wazi wazi kama ilivyouwa moro,iringa, arusha na singidanchi ina mauaji ya kimya kimya hii tusidanganyane hapa wanafiki wakubwa nyie hata maana ya aman na utulivu hamuijui .
Akiongea na Wazanzibari walio wengi katika viwanja vya Pemba jana May day Lipumba alisema"
"Sisi tumewaita CCM intarahamwe kutokana na lugha zao za kibaguzi dhidi ya makundi mbali mbali ambyo ndio iliyokuwa inatumiwa na jamaa hawa wa Intarahamwe ambayo baadae ikasababisha mauwaji makubwa.
"Ndugu zanguni maana ya Intarahamwe ni wanyaruwanda au warundi ambao wakifanya kazi pamoja ndio tafsiri yake. Sasa pana pana kundi la CCM limeamua kufanya kazi pamoja ili kuzuwia mawazo na maoni ya wananchi na kuanza kuleta lugha za kibaguzi kwa wananchi na katika jamii za kitanzania"
Akaendelea kusema "CCM walipokuwa wanachangia bungeni walikuwa wanatoa lugha za matusi na kibaguzi na wengine walikuwa wanafurahi kupiga makofi na kugonga meza bungeni kushadidia ubaguzi huo na matusi hayo. Ambapo alisema lazima atokee mtu awaeleze lugha za matusi na kibaguzi hazikubaliki.
"Hatutaki yaje yatokee mauaji na vurugu zilizosababishwa na Intarahamwe wa Rwanda. Hatuhitaji na Intarahamwe ya CCM kuja kusababisha vurugu na mauwaji hapa Tanzania."
Kwenu wadau,;
Hivi ni kweli lipumba anaongoza chama cha watetea ushoga?
Cuf ni maliberali, ajibu hili kwanza
Hakuna cha ajabu kwa Lipumbafu askafurulah.... ni mekosea ni Lipumba, Kuwaita wenzake Interahamwe na kuleta tafasri ya kibabaishaji! Lipumba ni mbaguzi, Gaidi na mnafiki. Mbona alipoitwa Shoga na mliberali hakutoka bungeni? mbona hakwenda Zanzibar kuitisha mkutano wa hadhara na kutoa tafasri? .Achana na Prof. kilaza.
Kitendeo alichokifanya Prof Lipuma akilingani na heshima anayopewa na jamii achilia mbali kuwa wasomi wanamtegemea sana katika fani ya Uchumi na masuala mengine kwani ni mingoni mwa watu makini ambao maandiko na matamshi yake vyaweza tumiwa na wasomi kwenye tafiti za kitaaluma. Kama ni kweli ni yeye ametoa ufafanuzi kwa kile alichomaanisha kuwaita wajumbe wenzake ma Intarahamwe na kukimbia vikao vya Bunge bado hajakidhi vigezo vinavyoweza kumrudishia hadhi yake. Haiingii akilini Profesa tunayemuamini kulikimbia Bunge linaloweza kujadili mambo na kufikia maamuzi yanayokubalika kikatiba badala yake anajiunga na kundi lililosheheni ushabiki kwenda mitaani na kufanya mikutano inayohamasisha hisia nje ya Bunge la Katiba ambavo kwa vyovyote matokeo yake hayatumiki kwenye Bunge.
Ni ushauri tu kwamba Prof aombe tu samahani kwamba ilikuwa slip of tongue na awashauri wenzake warudi Bungeni tuendelee kupata michango na hoja makini kutoka kwa watu makini.
Weweeee!! wamefanya "amani". Wananchi wa tanzania wameamua kuvumilia kuleta amani na utulivu!! katika ya dhulma za ufisadi, uporaji, wizi na ukandamizaji wa CCM!! CCM ni Nterahamwe!!
Lipumba amesahau kuwa CCM ni chama Tawala na ndio walioifanya nchi hii kuwa na amani na utulivu.
Wacha hizo weweeee, kwani matusi ndio amani? Kutawala ndio cheti cha kuruhusu matusi? Uungwana ni vitendo bana, interahamwe hatuwaaki T anzaniaLipumba amesahau kuwa CCM ni chama Tawala na ndio walioifanya nchi hii kuwa na amani na utulivu.
Kitendeo alichokifanya Prof Lipuma akilingani na heshima anayopewa na jamii achilia mbali kuwa wasomi wanamtegemea sana katika fani ya Uchumi na masuala mengine kwani ni mingoni mwa watu makini ambao maandiko na matamshi yake vyaweza tumiwa na wasomi kwenye tafiti za kitaaluma. Kama ni kweli ni yeye ametoa ufafanuzi kwa kile alichomaanisha kuwaita wajumbe wenzake ma Intarahamwe na kukimbia vikao vya Bunge bado hajakidhi vigezo vinavyoweza kumrudishia hadhi yake. Haiingii akilini Profesa tunayemuamini kulikimbia Bunge linaloweza kujadili mambo na kufikia maamuzi yanayokubalika kikatiba badala yake anajiunga na kundi lililosheheni ushabiki kwenda mitaani na kufanya mikutano inayohamasisha hisia nje ya Bunge la Katiba ambavo kwa vyovyote matokeo yake hayatumiki kwenye Bunge.
Ni ushauri tu kwamba Prof aombe tu samahani kwamba ilikuwa slip of tongue na awashauri wenzake warudi Bungeni tuendelee kupata michango na hoja makini kutoka kwa watu makini.
Na ndio wataipeleka nchi hii katika machafuko.Lipumba amesahau kuwa CCM ni chama Tawala na ndio walioifanya nchi hii kuwa na amani na utulivu.
Chagadema ni wabaguzi, wachumia tumbo na wadini na wakabila