Lipumba aachwa kwenye mataa CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba aachwa kwenye mataa CUF

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jafar, Nov 5, 2010.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Habari zilizotufikia ni kwamba "dream team" a CUF iko bize kupanga nani ataingia kwenye baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa. Wakati maalimu Seif tayari ni Makamu wa Kwanza wa Rais, tayari Juma Duni, Ismail Jusso n.k. wamehakikishiwa kuingia kwenye baraza hilo la mawaziri.

  Ndugu yetu mnyamwezi Prof. Ibra Lipumba ameeachwa kwenye mataa baada ya mgombea mwenza wake kukimb ilia zenji ambako kuna maslahi zaidi. Sasa hivi anashindwa kusema lolote maana ofisini yuko peke yake "top cream" yote iko zenji kugawana.

  Pole Ibra kwa uvumilivu. Ili uondoe upweke nenda kumsalimia JK akitwishwa kura za kuchakachua leo jioni.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Awe mpole,
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,999
  Trophy Points: 280
  yeye alkuwa hajui kuwa hicho chama kilikuwa kwa maslahi ya wajenji tu,
   
 4. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Yeye atasimamia ruzuku ya CUF ambayo si haba, hivyo hawezi kuachwa kwenye mataa
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mbona humpi pole slaa alieachia mbachao kwa msala upitao? alidanganywa kuwa yeye ni chaguo la mungu awe rais wetu hivyo aachie ubunge na urais angeupata bila tatizo kwani hata nyumba za ibada zitafungwa siku ya jumapili lakini cha kushangaza hata hao waumini wenyewe hawakujitokeza kupiga kura siku ya jumapiki!!


  masikini slaa sasa hatima yake sasa itategemea uteuzi wa nafasi maalum kupitia kapu la chadema!!! pole daktari wetu wa cement 5000!!!!!!
   
 6. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Jamani mna maana 'mlima kilimanjaro'? sasa umekuwa tambarare. Kazi kweli kweli. Huku bara hakuna dili tena mpaka 2015.
   
 7. Z

  Zahor Salim Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Ana msubiri dr slaa amchague waziri mkuu
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kama inaruhusiwa kwa mgombea urais kupewa kiti maalum ni ngependa sana kumuona lipumba mjengoni akishusha vitu...cuf wangeliangalia hilo
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,999
  Trophy Points: 280
  aende Chadema , chama cha uhakika
   
 10. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Slaa ni pHD holder siyo kama JK wenu.
  anajua anachokifanya, jk hawezi kufanya maamuzi mpaka kinana/makamba/rost tam aseme.
  by the way ana mambo mengi ya kufanya,la kwanza kurudisha ushindi wake ulioporwa. u think its impossible!!!!!!!!!!

   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeye hakujua kuwa kwenye Uisilamu kuna Matabaka? Wao wa visiwani ni bora zaidi sisi wa bara
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Chadema na vibaraka wa Mkwere wapi na wapi?
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,646
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Wewe huna habari kuwa hata ukifanywa utafiti sasa hivi na taasisi huru kuwa ni kiongozi gani anaongoza kwa kuheshimiwa Tanzania kwa sasa kuwa jina la Slaa ndilo litatokea?
  Slaa ndio Rais wa wananchi na JK ni Rais wa NEC.
   
 14. Nyahende Thomas

  Nyahende Thomas Verified User

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watu wenye mawazo kama yako wakiendelea kuongezeka nchini, ama kwa hakika nchi hii itaendeea kuwa maskini wa kutupwa.
  watu mmejawa na chuki na husda za ajabu ajabu.
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye nyekundu hicho kisomo kilikuwa ni cha kuhudumia kanisa TU!! .. uraini bado kilaza! TU hana elimu dunia. hata form 6 leaver ni msomi kushinda yeye
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,682
  Trophy Points: 280
  Na wewe tutolee upupu wako hapa , aliyetangazwa kuwa ni chaguo la mungu ni huyom mgonjwa wenu wa kifafa, na huyo ndiye wa kupewa pole kwani wiki hii kaanguka na kuzirai kwa muda mrefu zaidi kuliko kawida yake. Dr yupo makini na anastahili kupongezwa kwa kukiinua chama chake kupata wabunge wengi tofauti na huyo KIFA ULONGO aliyekiporomosha chama chake cha mafisadi kukosa zaidi ya majimbo 50.Na kwa taarifa yako huyo JK alikuwa anaanguka mara 1 kwa mwezi, hivi sasa kila wiki lazima azimike. Damu ya wabongo aliowadhulumu haki ya kupata kiongozi bora itamdhuru sana.
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wacheni kuitafuta jehannamu kwa nguvu ,yaani mnasema uwongo hivi hivi, sasa mlitaka hawa watu wagandane kama haluwa ? Uchaguzi umekwisha ,tunajua Kikwete kawaacha mliokuwa mkimtarajia kwa masafa hata hamjui amepitia njia gani ?
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  jamani mlima kilimanajaro umepukutika gafla!!!


  astagfillulah!
   
 19. F

  Firdous Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  patamu hapo!!!

  Hivi ukiwa na elimu kubwa ya DINI ya KIKIRISTO ndio unaambiwa una PHD, ina maana Dr Slaa ni sawa na Sheikh KUNDECHA, maana wote wanaeleimu sawa za dini , ila labda kwa vile ukiwa na elimu ya dini ya kikirsto unaitwa DR na ukiwa na elimu kubwa ya dini ya kiislamu utaitwa sheigh ama Ulamaaa.

   
 20. m

  mzeewadriver Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmh jamani sasa mbona heshima inapungua kwa waliokuwa wagombea wetu wa urais? kama wewe ni mtz kama angeshinda angekuwa rais wako sasa si vizuri kuleta kejeli za namna hiyo.
   
Loading...