Je, Prof. Ibrahim Lipumba kafanyia kikao cha Chama cha Wananchi CUF kwenye ofisi ya CCM Zanzibar?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Professor Lipumba leo amefanya kikao cha CUF kwenye ofisi ya CCM Pemba.

Ni ushirikiano mzuri kati ya CCM na CUF ,Ikumbukwe TLP walishapitisha mgombea wao wa Urais atakuwa yule atakayesimamishwa na CCM na pia kuna tetesi NCCR Mageuzi pia kumwunga mkono Mgombea wa CCM uchaguzi mkuu.

Mwanzoni mwa miaka iliyopita CUF ilikuwa CCM-B ila mwaka huu TLP nayo imekuwa CCM -C na NCCR Mageuzi ni CCM - D.
IMG_20200606_182935.jpeg
IMG_20200606_182932.jpeg

Si kweli kwamba hizo ni Ofisi za CCM, bali ni Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni. Hizo rangi zinazoonekana ni rangi za Bendera yaTaifa la Tanzania.

Kulitaka kutokea Vurugu kati ya Wafuasi wa CUF na Wale wa ACT Wazalendo. CUF wanadai Ofisi zao zinakaliwa Kimabavu na ACT. Hivyo leo CUF walipanga wakazivamia kwa nguvu na kuzikomboa. Baadae Polisi wakaingilia kati.

Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba ikabidi awape Ukumbi wa Halmashauri ili Wafanye mikutano bure ili kuepusha Vurugu. Kwani tayari kesi kuhusu Ofisi hizo ipo Mahakamani, hakuna haja ya kutumia nguvu.

Hivyo wafuasi wa CUF walipotangaziwa Wakaujaza Ukumbi wa Halmashairi hata kabla ya kupambwa. Baadae Waliupamba na kufunika rangi za Bendera ya Tanzania.

Hizo picha zinazosambaa ni kabla ya Mikutano kuanza ndani ya Ukumbi wa Halmashauri.
 
Professor Lipumba leo amefanya kikao cha CUF kwenye ofisi ya CCM Pemba.

Ni ushirikiano mzuri kati ya CCM na CUF ,Ikumbukwe TLP walishapitisha ndo mgombea wao wa Urais atakuwa yule atakayesimamishwa na CCM na pia kuna tetesi NCCR Mageuzi pia kumwunga mkono Mgombea wa CCM uchaguzi mkuu.

Mwanzoni mwa miaka iliyopita CUF ilikuwa CCM-B ila mwaka huu TLP nayo imekuwa CCM -C na NCCR Mageuzi ni CCM - D.View attachment 1470240View attachment 1470241
Huyu Lipumba ni Prof wa nini?
 
Professor Lipumba leo amefanya kikao cha CUF kwenye ofisi ya CCM Pemba.

Ni ushirikiano mzuri kati ya CCM na CUF ,Ikumbukwe TLP walishapitisha mgombea wao wa Urais atakuwa yule atakayesimamishwa na CCM na pia kuna tetesi NCCR Mageuzi pia kumwunga mkono Mgombea wa CCM uchaguzi mkuu.

Mwanzoni mwa miaka iliyopita CUF ilikuwa CCM-B ila mwaka huu TLP nayo imekuwa CCM -C na NCCR Mageuzi ni CCM - D.View attachment 1470240View attachment 1470241
Ujinga
.
 
Back
Top Bottom