Lips fungus

J

Jafar

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
1,137
Points
0
J

Jafar

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2006
1,137 0
Kuna jamaa yangu mdomo wake (lips) mara nyingi akiongea unakuwa mweupe, wengi wanasema ni lips fungus
1. Inasababshwa na nini?
2. Nini matibabu yake (ili weupe huo usiwepo)

Maelezo yenu yatamsaidia kujisikia vibaya mbele ya washikaji wenzake.
 
B

Bawa mwamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Messages
351
Points
0
B

Bawa mwamba

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2010
351 0
Kuna jamaa yangu mdomo wake (lips) mara nyingi akiongea unakuwa mweupe, wengi wanasema ni lips fungus
1. Inasababshwa na nini?
2. Nini matibabu yake (ili weupe huo usiwepo)

Maelezo yenu yatamsaidia kujisikia vibaya mbele ya washikaji wenzake.

Kwa maelezo yako hizo sio Fangazi,UNAWEZA KUUITA NI DRY WHITE LIPS /[INGAWA HUJASEMA KUWA WEUPE HUO UNAAMBATANA NA UKAVU WA LIPS AU LA] .Kama lips zinageuka nyeupe huku zikiwa kavu baada ya muda ni state of dehydration[kukaukiwa au kupungukiwa na maji].hali hii huonekana kwa watu wanaofunga kula na kunywa kwa masaa mengi,watu wenye utapiamlo,wagonjwa wa kisukari,kuharisha,alcoholism.tabia ya kupenda kujilamba lips kupita kiasi,n.k.

USHAURI.
kama anajiona hana matatizo ya ziada
1. ale Vitamin B1 tabs,atumie ndimu ,anywe maji ya kutosha ,
2. atumie exfoliant,kama st.ives apricot scrub,kwenye lips na Afanye gentle massage,hii itamsaidia kuondoa ngozi iliokufa[maana kama hiyo ngozi ipo, hata apake lip bum kiasi gani weupe utarudi tu.],halafu baada ya massage apake hiyo lip bum mara kwa mara,yaani atembee nayo,zipo zile transparent ni nzuri kama ni mwanaume.
 
B

Bawa mwamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Messages
351
Points
0
B

Bawa mwamba

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2010
351 0
ZIADA;

There is no fungus that can affect the outer portion of the lips because most pathogenic fungi require a mucosal medium to infect and feed on. However, the closest fungal infection you could get is candidiasis, or in this case oral candidiasis. This is an affliction that occurs due a yeast infection and usually occurs deep in the mouth and rarely on the lip.
Maadamu ni nje ya mdomo tu bila ndani nadhani sitakuwa mbali,na maelezo.
ref http://www.yogawiz.com/blog/home-remedies/oral-treatment-candidiasis-lip-fungus.html.
 
J

Jafar

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
1,137
Points
0
J

Jafar

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2006
1,137 0
Asante Bawa mwamba

Ninam-printia na kumpelekea akasome na ajitahidi kunywa maji.
Nitaleta feedback after some times.

Thanks to all.
 
Rubi

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
1,626
Points
1,225
Rubi

Rubi

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
1,626 1,225
Wengine wanasema kama unapenda sana kuzamia chunvini asije kuwa ametoka na magugu maji. ila fuata ushauri huo uliopewa hapo juu kwanza pengine kutakuwa na matokeo mazuri.
 
Bazazi

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Messages
2,410
Points
2,000
Bazazi

Bazazi

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2008
2,410 2,000
Athari za kupenda kuzibua mabomba ya DAWASCO
 

Forum statistics

Threads 1,334,354
Members 511,970
Posts 32,473,654
Top