Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,766
- 2,685
teh teh nimemkumbuka bibi yangu akinibadilisha nepiAiseee hilo shuka toka enzi zile hatujapata uhuru mpaka leo unatumia?Weka shuka la kuvutia ili kitanda kivutie upate wateja.
Hahahaha yani shuka la long time aiseeeteh teh nimemkumbuka bibi yangu akinibadilisha nepi
Hicho kitanda kilivyo hata akiweka shuka la malu malu mimi ntakiogopa I see, nywele zangu zisije zikakwamia kwenye hayo machuma mithili ya mauaAiseee hilo shuka toka enzi zile hatujapata uhuru mpaka leo unatumia?Weka shuka la kuvutia ili kitanda kivutie upate wateja.
Hahahaha tuachie sie wenye upara wetu tulalie chuma[emoji1]Hicho kitanda kilivyo hata akiweka shuka la malu malu mimi ntakiogopa I see, nywele zangu zisije zikakwamia kwenye hayo machuma mithili ya maua
Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.
Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.
Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.
Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875
View attachment 431902
View attachment 431903
Wenzenu Arusha hivyo vitanda ni hiyo 250,000/= yaani unapata viwili kwa bei hiyo!!Habari wakuu.
Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu.
Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu mbili.
Mfano kitanda hiki pichani ni futi 5 * 6 na bei yake ni shilingi laki tano(500,000/-) ambapo utalipa laki mbili na nusu(250,000/-) na kuanza kutengenezewa, ukija kumalizia laki mbili na nusu(250,000/-) utakabidhiwa kitanda ndani ya wiki moja toka ukamilishe malipo ya pili. Tunashauri malipo ya pili yawe ndani ya siku 30 toka yale ya awali.
Tupo Daraja jipya Kigamboni"
Simu:0713-039875
View attachment 431902
View attachment 431903
Nashukuru kwa mrejesho. Bei ni negotible, inaweza shuka. Lakini mkumbuke unalipa kwa installments, kuna storage cost, ulinzi pia unaweza kufanyiwa home delivery. Karibuni.Mbona kibaya sana kwa hiyo bei. Jamani tuheshimu PESA YA KITANZANIA tafadhalini, acheni hizo tabia hebu tengenezeni kitu kinachofana na gharama halisia. Ni ushauri tu!
natafuta wallpapers
okeyNipigie
350,000 bado ghali Nenda LAMU utapewa bure.Kwanza bei yako ni kubwa sana, kuna vutanda niliona vinatengenezwa pale mwananyamala, aisee ni vizuri, wanatumia black pipe nene, sijui ni inchi ngapi, yaani vinavutia kwakweli na price zao ni 350000 tu, sasa hichi cha kwako siajona kwanini unakiuza laki tano.
Ingawa biashara ni matangazo, lakini angalau bei ifanane na uhalisia.
idea ya kulipa kwa instalment ni nzuri lakini