Ntakupigia nikwambie ni angaza ya wapi... Nimependa hiyo ya kumpa mtu za uso live, nzuri sana! Ya nini kufa na kijiba cha roho?Usijali kabisaa,kuwa specific ni angaza ya wapi ili nijue nachomoka home mida gani....usikatishwe tamaa na mtu, kifo kipo tu...!
Ukimchukia mtu we mpe za uso tu....maisha mafupi,unabaki na kitu kinakukaba roho,mwenzio ana raha zake....lol
Ntakupigia nikwambie ni angaza ya wapi... Nimependa hiyo ya kumpa mtu za uso live, nzuri sana! Ya nini kufa na kijiba cha roho?
Nasubiri simu yako....hakikisha unapiga kabla sijalala,sipendi kuamshwa na simu....lol....vijiba vya roho ndo vinaleta stroke,binti mdogo unapinda mdomo na mikunjo kwenye ngozi....!!
Hivi angaza unapajua au unapasikia?
Miss you too Kabakabana! Umepotea siku mbili hizi, kwema huko?
he he he he he napajua,kuna lipi la ajabu Angaza zaidi ya kupima virusi vya ukimwi? Kwa baadhi yetu hapakwepeki, mjamzito ni lazima,kazini sasa napo ni lazima,kabla ya ndoa ni lazima....sasa nisipajue kwanini tena??
Huu ndo ujinga maana hukuona kama huu ni ujinga
Nyie ndo mnayakimbiaga majibu mnaenda kwa mbwembwe mkianza kuulizwa maswali mnajifanya mnaenda msalani kumbe kimenuka
nipo,nalea mume alikuwa mgonjwa sasa hivi ana nafuu
mpe pole sana Excellent mwambie nina zawadi yake nitarudi nayo,afanye maombi nisipinduke na Bus wakati narudi.Nalog off
hee kweli ulipotea,huyo keshapatwa na mafuriko.na kitu kipya
dah! hau kamu umemtosa rafiki yangu,nani tena mwenye bahati huyo? Nalog off
bado sijamuweka hadharani,wanga wengi mwee
sawa naheshimu maamuzi yako,siku utakayoamua usisahau kunitonya.Nalog off
usiwaze wewe tena?