Lipi ujinga zaidi???

Lipi ujinga zaidi???

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
16,967
Reaction score
8,454
1. Kujiita romantic wakati uko single.

2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size.

3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha.

4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi.

5. Kupigiwa simu hafafu unaangalia balance yako.

6. Kutafuta remote ya TV for ten minutes wakati TV ipo karibu yako

7. Kupunguza sauti ya radio ili usome sms.

8. Kukataa kupima wakati unataka uishi kwa afya njema.
 
Kuponda JF Chit-Chat as if JF ni Jukwaa la Siasa peke yake...
 
Lipi ujinga zaidi??
1. Kujiita romantic wakati uko single,
2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size,
3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha,
4. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi,
5. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako,
6. Kutafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
7. Kupunguza sauti ya radio ili usome sms.
 
Back
Top Bottom