Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

Nimekaaa mbeya block
t,chimala,Igurusi kitambo sana

Mbeya kwenye issue ya msosi havina bei ila kwa sasa sijui
Ila nlipapenda sana mbeya

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uliinjoy sana maisha ya Chimala mzee baba.

Watuache na Mbeya yetu. Huku tunauwezo wa kujitegemea nakuwa nchi kabisa. JPM mwenyew Mbeya anaiogopa Arusha anaigeuza kadri anavuojiskia.
japo nje ya mada.
 
Nimekaaa mbeya block
t,chimala,Igurusi kitambo sana

Mbeya kwenye issue ya msosi havina bei ila kwa sasa sijui
Ila nlipapenda sana mbeya

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uliinjoy sana maisha ya Chimala mzee baba.

Watuache na Mbeya yetu. Huku tunauwezo wa kujitegemea nakuwa nchi kabisa. JPM mwenyew Mbeya anaiogopa Arusha anaigeuza kadri anavuojiskia.
japo nje ya mada.
 
This is what thrilled my realization that brandishing
before a conflux of personage to give a peroration
coda, needs a stupefacient effort.

Consequently, th ose who have a dexterity to do it,must be given a sanctioned acknowledgementora because it isn't a mere devoir
What's the answer on the subject?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwah kukaa mbeya kidogo na pia nimekaa Arusha nimekaa kidogo.
Kwa Mimi binafsi nilipapenda na nilienjoy mbeya kuliko Arusha.
Arusha ni padogo sana yaani pamebana sana na miundombinu ni mibovu sana hasa ya barabara kiasi kwamba haina hata raha kumiliki gari binafsi.
Kingine ambacho nimekipenda mbeya ni ukarimu na discpline ya wenyeji wa kule ukilinganisha na watu wa Arusha ambao wana ukabila na dharau ambayo inafanya pawe pagumu kwa mgeni kuanzisha biashara na kufanikiwa kirahisi.
Yaani hata kwenye mambo ya ajira kama si mtu wa kaskazini basi utachukiwa sana na kufanyiwa figisu ili mradi uichukie kazi yako.
Kiufupi Arusha ni pazuri kwa ajili ya kwenda kufanya matumizi tu na starehe kutokana na mahotel na sehem zingine za bata.
Ni hayo tu machache niliyoyaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujuibulisemalo, utakuwa umeishibkitambo sana, Arusha kwasasa ni level nyingine, miundombinu imekaa vyema, lami kila kona, barabara mpya ya East Africa imezunguka nje mji, barabara pacha nazo zimepamba mji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya inaishinda arusha labda kwa wingi wa watu tu, hata kwa vimiji vidogo nje ya town Arusha papo poa sana....huwezi kulinganisha USA ya arusha na mbalizi ya mbeya,

town centre ya mbeya maduka mengi wanauza Chinese products labda ubahatishe og pale Dubai electronics wakati a town ukienda pale Benson ama sound vision unafunga kazi na vitu latest original

Hotel mbeya inayovutia ukiipeleka arusha yaweza kuwa lodge, Mbeya hotel yao ya hill view ni kituko kuipambanisha na naura springs ama kibo palace ya a town city.

Viwanja vya starehe mbeya wapo nyuma mno, night club ya vibe haipo active kabisa, swimming pool zinahesabika kama sio moja ile ya forest sijawahi kusikia mwengine, cinema hall hakuna mbeya, kukweli mbeya sehemu zinazosifika labda ni city pub....A town kwenye starehe ndo penyewe, night clubs kama club D ni next level, swimming pools zimejaa vibaya mno, movie theatre ipo njiro complex hapo utacheki hata movie iliyotoka jana.

Mzunguko wa pesa; nimefanya biashara ya simu nilivyokua arusha kwa mafanikio makubwa sana arusha, kuuza simu ilikuwa ni ndani ya Muda mchache sana nikiiweka sokoni ...Nlivorudi mbeya unaambiwa naweka mzigo, calls na sms asilimia kubwa wanaomba washushiwe bei na hata nkiwashushia wanaingia mitini. Hapa mbeya simu wanazopenda ni za chini ya laki 2, ukiuza hizi Samsung za laki 8 itakaa sana bila mteja.

Stendi ya mabasi: bila shaka hapa mbeya kaibuka kidedea, Arusha wana atendi ndogo sana pale town.

Huduma za usafiri wa anga: Mbeya ndege zinakuja Mara chache sana na kwa hali ya sasa ndege inayokuja ni air Tanzania tu tena mara chache sana na ukizingatia mzunguko wa pesa ni mdogo ndege huwa haijai, mambo yakiendelea hivi wataanza kuja Mara moja kwa wiki na hatimae kutemana kabisa na mbeya....Arusha without doubt kwenye air services unapata kila kitu, ndege zinaenda Mara 2 kwa siku na mashirika yako mengi hata helicopter zipo pale uwanjani kwajili ya kukodishwa.

Makazi: kwa makazi ambayo ni mfano wa kuigwa kwa jiji la mbeya ni maeneo kama forest mpya, isyesye na uzunguni.... hayo maeneo yote ya Mbeya hayawezi kushindana na sehemu kama njiro pale atown...A town sehemu kama uzunguni ile ya relini unaweza kudhani ni ulaya.

Shule: hapa naona aibu kabisa, nahisi nawaonea mbeya sasa, Arusha wameenda mbele zaidi kiasi kwamba wana shule international kama braeburn, ist, ism, consolata, n.k hizi shule zina mfumo wa kimataifa wa elimu bora na ada zao zinatembea milioni 18 hadi 40 kwa mwaka....

Watoto wazuri: A town kachukua kombe hapa, hakuna haja ya maelezo mana ntaonekana siwaheshimu mbeya

Maisha ya chuoni: mbeya vyuo vimekusanyika eneo moja na accommodation facilities ni below average, vyuo vimejazana sehemu moja kuanzia open university, grace college, mzumbe, tia, green college, cbe, adem, n.k...ubaya wa hili eneo ni kawaida kukuta mageto hayana silingi, mageto kuwa madogo sana kiasi kwamba huwezi kuweka kitanda 4x6 na meza ya kujisomea, kifupi nayo maeneo kupata mageto standard ni kazi sana kitu kinachofanya wanavyuo wapachukie....Arusha vyuo havijabanana na mageto na mazingira ya chuo yapo amazing, kwa mfank chuo cha uhasibu pale njiro Institute of Accountancy Arusha wanavyuo wanaishi vizuri sana mana kama ni mageto yapo fresh na ni makubwa yenye ulinzi wa kutosha, hata hostels nje ya chuo zipo standard, pia arusha kuna mashirika mengi sana ya ziada kama ya utalii, umoja wa mataifa na Africa mashariki na megine kadha na kadha ambayo wanafunzi wa vyuo vya arusha wanaweza kuomba kufanyia field na hata wakihitimu kujaribu Bahati yao katika kupata ajira

Hali ya hewa kwa majiji yote iko poa
Kwa upande wa shule mkuu mbeya wapo vizuri haswa kwenye performance angalia takwimu za necta miaka kumi na tano iliyopita kwa asilimia kubwa shule za mbeya zinafanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini ni mji mkubwa na unakuwa kwa kasi kuliko arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mbeya wamepata jengo la ghorofa lenye lift mwaka 2012 wakati Arusha since 60's & 70's wana majengo yenye lift alafu Arusha imekuwa Jiji mapema kuliko Mbeya,ki ukweli Ar iko mbali saana zaidi ya Mbeya sema tu Mbeya biashara nyingi zinakubali na maisha siyo ya ghali na pia wanyaki wengi siyo wabahili ni watu wa ku spend mnyaki hata akipata 50,000/- atakula maisha utafikiri amepata 500,000,000/-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekaa kimya ingependeza maana naona unaongea ujinga tu. foleni ni Mafiati tu? Mbeya ndio nyumbani na nimesoma Sangu High School. Arusha napafaham na nimekaa Jiji la Arusha ni zuri lakin maisha ya wakaz weng ni afadhar Mbeya. Arusha mbavu za mbwa ndio makaz ya wengi na hizo hotel si kigezo cha kuifanya Arusha kuwa juu ya Mbeya. watu wanasema eri Mbeya nyumba za udongo au tofali mbichi nyingi vip Arusha maeneo ya Unga ltd, Sanawari, Mbauda, Sinoni, Vip nyumba nyingi si za miti?
Mkuu umenena fresh ki haliya maisha n kweli na mm niko mbeya huku umasikin n wa mali ila hakuna umasikin wa chakula au makazi ila kwa arusha huko ulikokutaja umekariri sanawari hakuna mbavu si kuhizi mkuu mbavu ziko tu ungalimited na majengo hata mbauda kwenyewe zimeisha hapo hujatembelea muda mrefa arusha ila arusha kwa mbeya utajiri wa mali arusha upo ila kwa watu wenye shida za kimaisha hususani chakula mbeya hakuna io kitu plus m niko mbeya na nimepambenda kuliko hata dar ila ukweli nasema utajiri na maendelea ya umiliki wa mali arusha n mkubwa na ndio maana nlitoa mfano mianzini sa hv magorofa ya kuishi watu ni mengi ila mbeya kukuta magorofa ya watu kuishi hata iwambi n nadra na hapo sijaongelea kisongo njiro moshono usa na morombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani uliinjoy sana maisha ya Chimala mzee baba.

Watuache na Mbeya yetu. Huku tunauwezo wa kujitegemea nakuwa nchi kabisa. JPM mwenyew Mbeya anaiogopa Arusha anaigeuza kadri anavuojiskia.
japo nje ya mada.
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jpm hawaogopi ni amewatenga mbeya miradi ya gvt michache mnooo ukitoa barabara za tcsp hakuna mradi mwingine na ujue upinzani umezaliwa kaskazini ambayo pia mwanza shinyanga kote ni kaskazin mwa tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wa shule mkuu mbeya wapo vizuri haswa kwenye performance angalia takwimu za necta miaka kumi na tano iliyopita kwa asilimia kubwa shule za mbeya zinafanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Takwimu zote since 2012 mbeya imeingia top ten mara mbili tuu arusha kila mwaka imeingia afu arusha mzee kuna internationa schools sio english medium izo ziko kama taka taka hata shule za gvt iliboru,kisimiri zote n moto ila mbeya shule za private zinanichekeshaga service wanazotoa na za gvt tuombe serikali iangalie miundombinu ni mibovu kama kuna shule inaitwa ikuti primary arusha nzima sijawahi ona shule mbovu kama ile afu nnakukumbusha kaskazini ndio elimu iliingia mapema kuliko sehemu yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ukiipatia deal iko poa mno kuishi,..ila kwa mission town ni ngumu mno kuishi coz mzunguko wa hela ndogo ndogo ni mdogo mno ila life liko juu kimtindo unlike Mbeya life liko chini japo money circulation ni low

Sent using Jamii Forums mobile app
Pazuri ukiwa na kimango cha maana ila kinyume ni jau tu!
 
This is what thrilled my realization that brandishing
before a conflux of personage to give a peroration
coda, needs a stupefacient effort.

Consequently, th ose who have a dexterity to do it,must be given a sanctioned acknowledgementora because it isn't a mere devoir
Sie tuliosoma St Kayumba tunakoment wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha kuzuri kuliko Mbeya kigezo majengo hasa mahotel ila majiji yote mawili hayana barabara za maana na mipango miji ni hovyo, uswahilini ni 90% kwa majiji yote mawili, ukiondoa Hali ya hewa na ukijani wa mazingira kwa haya majiji napapenda Dodoma zaidi ya hz sehemu mbili .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee mi sio mkazi wa Chuga ila nilishatembelea maeno hayo. Arusha pako Unique sana kulinganisha na majiji mengine hapa bongo. Very green and the weather is so chilly no wonder wazungu wengi wanapapenda compared to Dar es salaam! Nadhani hata kwa takwimu Arusha pako more favoured na foreigners wanaotaka ku settle tofauti na majiji mengine. Pakogi kama ulaya hivi!
Mbeya napo ni green, pako chilly ila hapana mvuto kabisa. Sikutembea kihivyo ingawa nilikuwa nime settle soweto atleast palikuwa kama ushuani pana mpangilio mzuri lami kila upande ila kwa maeneo ya mjini mwanjelwa, nane nane, iyunga yani hapajaka kama majiji mengine. Sehemu ndogo sana imeendelezwa. Sehem nyingi pako local. Forest kule pazuri ndipo kulikuwa na ofisi nayofanyia kazi. But all in all Sikupapenda Mbeya.
Ila kimaisha umiliki wa ardhi na unafuu wa kuishi Mbeya inaibuka kidedea. Arusha pako expensive sana for begginers na hasa kama sio mzawa utapata tabu sana hata kumiliki ardhi ni utata sana.
 
Nimekaaa mbeya block t,chimala,Igurusi kitambo sana
Mbeya kwenye issue ya msosi havina bei ila kwa sasa sijui
Ila nlipapenda sana mbeya

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia nilikaa block T a few yards from Southern Highlands school. Pako tulivu sana ila ujinga ikifika saa 2 hamna huduma kila mtu kafunga duka.
 
Back
Top Bottom