Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

Mkishafika hapa ndio mje
DTqLOvUWkAAoeWu.jpg
images (5).jpeg
IMG_20170807_094913.JPG
0e4a6c60a475cc566c7cc84ba1cc16c5.jpg
IMG_20170807_094959.JPG
IMG_20170807_095032.JPG
IMG_20170807_095050.JPG
images (4).jpeg
images (3).jpeg
 
Mimi niliwah kukaa mbeya kidogo na pia nimekaa Arusha nimekaa kidogo.
Kwa Mimi binafsi nilipapenda na nilienjoy mbeya kuliko Arusha.
Arusha ni padogo sana yaani pamebana sana na miundombinu ni mibovu sana hasa ya barabara kiasi kwamba haina hata raha kumiliki gari binafsi.
Kingine ambacho nimekipenda mbeya ni ukarimu na discpline ya wenyeji wa kule ukilinganisha na watu wa Arusha ambao wana ukabila na dharau ambayo inafanya pawe pagumu kwa mgeni kuanzisha biashara na kufanikiwa kirahisi.
Yaani hata kwenye mambo ya ajira kama si mtu wa kaskazini basi utachukiwa sana na kufanyiwa figisu ili mradi uichukie kazi yako.
Kiufupi Arusha ni pazuri kwa ajili ya kwenda kufanya matumizi tu na starehe kutokana na mahotel na sehem zingine za bata.
Ni hayo tu machache niliyoyaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwenye ukabila nshajua ww ni wale wakuungu mkono juhudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipi jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya kwa kimazingira hari ya hewa majengo mji uliopangiliwa zuri na pia kibiashara upi unavutia kwa uwekezaji na upi unao kuwa kwa kasi zaidi wajuzi wa mambo mtujuze
unaruhusia kuweka picha pia upi una usafiri mzuri wa uma kwa mfano daradara

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbeya ni kijiji tu.
 
Naona watu wa Mbeya mnawatisha na photoshop....ngoja waje na picha za iwambi, mlima nyoka, nzovwe, soko la mwanjelwa alaf tuone
Man you dumb, unajua maana ya photoshop? Lol photoshop means fabricated fake images mostly animated sasa hapo ipo ipi? Mbeya ni takataka kwa Arusha alafu hapo hata sijaleta pictures za hotels, mtaweza kimbia hapa.
 
Lodge zipo kali aisee.sema ulienda mafichoni aka Gesti BUBU.

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL hivi unajua kama 90% ya watalii wote wanaoingia Tanzania wanakuja kaskazini mostly Arusha?

Means kama Tanzania inapokea watalii million 1 kwa mwaka, watalii laki 8 wanalala Arusha, kwa ufupi Arusha kuna futuristic lodges nyingi kushinda hata Nairobi achilia mbali Dar, naongea hivi nikiwa kwenye sector ya utalii.
 
U
Mbeya inaishinda arusha labda kwa wingi wa watu tu, hata kwa vimiji vidogo nje ya town Arusha papo poa sana....huwezi kulinganisha USA ya arusha na mbalizi ya mbeya,

town centre ya mbeya maduka mengi wanauza Chinese products labda ubahatishe og pale Dubai electronics wakati a town ukienda pale Benson ama sound vision unafunga kazi na vitu latest original

Hotel mbeya inayovutia ukiipeleka arusha yaweza kuwa lodge, Mbeya hotel yao ya hill view ni kituko kuipambanisha na naura springs ama kibo palace ya a town city.

Viwanja vya starehe mbeya wapo nyuma mno, night club ya vibe haipo active kabisa, swimming pool zinahesabika kama sio moja ile ya forest sijawahi kusikia mwengine, cinema hall hakuna mbeya, kukweli mbeya sehemu zinazosifika labda ni city pub....A town kwenye starehe ndo penyewe, night clubs kama club D ni next level, swimming pools zimejaa vibaya mno, movie theatre ipo njiro complex hapo utacheki hata movie iliyotoka jana.

Mzunguko wa pesa; nimefanya biashara ya simu nilivyokua arusha kwa mafanikio makubwa sana arusha, kuuza simu ilikuwa ni ndani ya Muda mchache sana nikiiweka sokoni ...Nlivorudi mbeya unaambiwa naweka mzigo, calls na sms asilimia kubwa wanaomba washushiwe bei na hata nkiwashushia wanaingia mitini. Hapa mbeya simu wanazopenda ni za chini ya laki 2, ukiuza hizi Samsung za laki 8 itakaa sana bila mteja.

Stendi ya mabasi: bila shaka hapa mbeya kaibuka kidedea, Arusha wana atendi ndogo sana pale town.

Huduma za usafiri wa anga: Mbeya ndege zinakuja Mara chache sana na kwa hali ya sasa ndege inayokuja ni air Tanzania tu tena mara chache sana na ukizingatia mzunguko wa pesa ni mdogo ndege huwa haijai, mambo yakiendelea hivi wataanza kuja Mara moja kwa wiki na hatimae kutemana kabisa na mbeya....Arusha without doubt kwenye air services unapata kila kitu, ndege zinaenda Mara 2 kwa siku na mashirika yako mengi hata helicopter zipo pale uwanjani kwajili ya kukodishwa.

Makazi: kwa makazi ambayo ni mfano wa kuigwa kwa jiji la mbeya ni maeneo kama forest mpya, isyesye na uzunguni.... hayo maeneo yote ya Mbeya hayawezi kushindana na sehemu kama njiro pale atown...A town sehemu kama uzunguni ile ya relini unaweza kudhani ni ulaya.

Shule: hapa naona aibu kabisa, nahisi nawaonea mbeya sasa, Arusha wameenda mbele zaidi kiasi kwamba wana shule international kama braeburn, ist, ism, consolata, n.k hizi shule zina mfumo wa kimataifa wa elimu bora na ada zao zinatembea milioni 18 hadi 40 kwa mwaka....

Watoto wazuri: A town kachukua kombe hapa, hakuna haja ya maelezo mana ntaonekana siwaheshimu mbeya

Maisha ya chuoni: mbeya vyuo vimekusanyika eneo moja na accommodation facilities ni below average, vyuo vimejazana sehemu moja kuanzia open university, grace college, mzumbe, tia, green college, cbe, adem, n.k...ubaya wa hili eneo ni kawaida kukuta mageto hayana silingi, mageto kuwa madogo sana kiasi kwamba huwezi kuweka kitanda 4x6 na meza ya kujisomea, kifupi nayo maeneo kupata mageto standard ni kazi sana kitu kinachofanya wanavyuo wapachukie....Arusha vyuo havijabanana na mageto na mazingira ya chuo yapo amazing, kwa mfank chuo cha uhasibu pale njiro Institute of Accountancy Arusha wanavyuo wanaishi vizuri sana mana kama ni mageto yapo fresh na ni makubwa yenye ulinzi wa kutosha, hata hostels nje ya chuo zipo standard, pia arusha kuna mashirika mengi sana ya ziada kama ya utalii, umoja wa mataifa na Africa mashariki na megine kadha na kadha ambayo wanafunzi wa vyuo vya arusha wanaweza kuomba kufanyia field na hata wakihitimu kujaribu Bahati yao katika kupata ajira

Hali ya hewa kwa majiji yote iko poa
Uko vizuri kiongozi. I love the way you narrated
 
Mbeya haina watu wengi hata kiivo m niko hapa mbeya inyala nasoma must kutype essay kuhusu arusha vs mbeya n utoto arusha n kitu kingine afu ujue arusha kila day mji unatanuka mpaka ivi sasa jiji la arusha halina maeneo tena n kwamba wanaanza kuomba halmashauri ya meru na arusha dc ndio wapate kwa io soon arusha itaamia tengeru mpaka usa river ndio jiji linaamia huko ila mbeya napapenda kwa sababu ya cost za maisha n very cheap hadi raha nje na hapo hakuna kitu yani city pub ni sawa na rafiki grocery pale mianzi
 
ww upo inyala utajua nn kuusu mbeya inazidia na arusha kwa mahotel na magorofa tu kwa sababu ya utalii na pia ni makao makuu ya umoja wa mataifa na sadic na afrika mashariki ndio maana wapo mbali kwaivyo vitu na pia mashirika ya serikal yana wekeza uko ila mbeya ayawekezi lakini mbeya bado inakuwa kwa sababu ya kibiashara na kilimi wanawekaza wanainchi wenyewe alafu kuusu watu mbeya ipo juu ina watu wengi kuliko arusha pia inakuwa kwa kasi kwayo mambo ya magorofa sio mda tu mbeya itakuwa juu tu mji unakuwa mbeya habari nyengine tuna subiri barabara 4 tu zikijengwa izo utaisaau kabisa mji uhu uwache tu maendeleo ya nachelewashwa na serikal kwa ubaguzi bila ivyo usinge igusa kabisa shukuru inatengwa

Arusha haizidi sana Mbeya kama watu wanavyojinadi...tatizo watu wa Arusha sifa nyingi...ila soon Arusha itapigwa gap na Mbeya
 
Mkuu nnaishi inyala ila naweza nkawa naijua mbeya kuliko ww kwanza afu emu nenda kasome sensa arusha ina watu 416000 mbeya 350000 ujue hilo afu pili ghrofa ndefu mbeya bado sana moro yenyewe inawazidi na barabara nne sijui zinawekwa wp kwa sababu foleni mbeya n mafiati tuu tena foleni yenyewe ya kawaida sana nje na hapo barabara zingine mbona za kawaida magari yanaesabika afu arusha imeshakua hata ukitoa eac na maorganization yote bado itaendelea kukua n sawa na useme dar itafuma kisa serikali imehama miaka mia haiwezi na cha mwisho arusha na mbeya zote n nzury kwangu tofauti arusha n more developed hata kiuchumi n ya tatu kwa maisha mazuri tz after dar and kilimanjaro
 
Arusha haizidi sana Mbeya kama watu wanavyojinadi...tatizo watu wa Arusha sifa nyingi...ila soon Arusha itapigwa gap na Mbeya
😂😂😂😂😂😂😂ngoja tuone mkuu sibishi ila hii mbingu ishuke labda yani mbeya sehemu iliyochangamka n sawa na iliboru arusha afu kama ujui mbeya kuna sukari ya mia mbili hio inatosha kuku endiketia uchumi wa mtu mmoja mmoja n mdogo bado huwezi jenga super market watu wakanunua kwa wingi tofauti na arusha m nnakipato cha kawaida ila naenda super market nanunua baathi ya bizaa tena hapo ni mianzini
 
Samahani mkuu...ina maana watu wote wa arusha huwa wananunua bidhaa supermaket..?
 
Back
Top Bottom