Lipi jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya kwa kimazingira hari ya hewa majengo mji uliopangiliwa zuri na pia kibiashara upi unavutia kwa uwekezaji na upi unao kuwa kwa kasi zaidi wajuzi wa mambo mtujuze
unaruhusia kuweka picha pia upi una usafiri mzuri wa uma kwa mfano daradara
Sent using Jamii Forums mobile app
unaruhusia kuweka picha pia upi una usafiri mzuri wa uma kwa mfano daradara
Sent using Jamii Forums mobile app