Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

Tanga imepata hadhi ya jiji kabla ya Mbeya ndio maana wanakuuliza umri wako pengine wakati Tanga wakipata hadhi ya jiji ulikua chekechea
Mimi ni mtu mzima wakati Tanga inapewa hadhi ya jiji nilikuwepo Tanga, hata Mbeya ilipopata Hadji hiyo najua vema. Nimepata nafasi ya kutembea Tanzania nzima, hivyo naielewa vema nchi yangu. Nilikomenti makusudi kuita Tanga manispaa nikitegemea najadiri na waungwana. Nilijua watakuja na lugha yetu watu wazima,lakini matusi sio jadi yangu. Hata elimu ndogo niliyonayo imenifunza kuheshimu maoni ya wengine bila buggudha.
 
Aisee Achana na mbeya kabisa
IMG_20170227_181808_858.jpg
IMG_20170227_181830_034.jpg
IMG_20170227_181847_072.jpg
IMG_20170227_181902_820.jpg
IMG_20170227_181923_261.jpg
IMG_20170227_182002_487.jpg
IMG_20170227_182022_913.jpg
IMG_20170227_182045_198.jpg
IMG_20170227_182113_737.jpg
IMG_20170227_182150_048.jpg
IMG_20170227_182205_354.jpg
IMG_20170227_182226_563.jpg
IMG_20170227_182258_844.jpg
 
Mimi ni mtu mzima wakati Tanga inapewa hadhi ya jiji nilikuwepo Tanga, hata Mbeya ilipopata Hadji hiyo najua vema. Nimepata nafasi ya kutembea Tanzania nzima, hivyo naielewa vema nchi yangu. Nilikomenti makusudi kuita Tanga manispaa nikitegemea najadiri na waungwana. Nilijua watakuja na lugha yetu watu wazima,lakini matusi sio jadi yangu. Hata elimu ndogo niliyonayo imenifunza kuheshimu maoni ya wengine bila buggudha.
Hadji = Hadhi

Jadiri = Jadili

Kutembea Tanzania nzima sio kwamba unaelewa yote ya nchi hii, mimi sijatembea Tanzania nzima ila nimeishi mbeya soko matola na baadae forest na Tanga ni nyumbani, unaposema unaielewa vema Tanzania napata wasiwasi na uelewa wako. "Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza".
 
NADHANI UNGEJARIBU KUSAFIR KWENDA HII MIKOA UKAJIONEA MAANA INAVYOONESHA HUJUI UHALISIA WAKE KABISA ndO MAANA UKAULIZA,
SASA KWEL UNAWEZA UKALINGANISHA MBEYA KWA TANGA,KIJIJI NA MJI?
SHAME ON YOU!
KWA KIFUPI MBEYA NI MJI MJUBWA SANA HAUWEZ UKALINGANISHA NA TANGA,TANGA NI MJI WA KISWAHILI,
 
Mimi ni mtu mzima wakati Tanga inapewa hadhi ya jiji nilikuwepo Tanga, hata Mbeya ilipopata Hadji hiyo najua vema. Nimepata nafasi ya kutembea Tanzania nzima, hivyo naielewa vema nchi yangu. Nilikomenti makusudi kuita Tanga manispaa nikitegemea najadiri na waungwana. Nilijua watakuja na lugha yetu watu wazima,lakini matusi sio jadi yangu. Hata elimu ndogo niliyonayo imenifunza kuheshimu maoni ya wengine bila buggudha.
Maoni kitu kingine na facts kitu kingine.... Huwezi kutoa maoni wakati kuna facts..... Kwa huwezi mimi maoni yangu 'dunia ni kubwa kuliko jua' wakati fact ipo kwamba jua ni kubwa kuliko dunia.
 
Hivyo vijumba viwili vitatu ambavyo viko pembeni ya barabara ya DAR-Tunduma ndo mnaita jini... Acheni ushamba nyinyi.

NADHANI UNGEJARIBU KUSAFIR KWENDA HII MIKOA UKAJIONEA MAANA INAVYOONESHA HUJUI UHALISIA WAKE KABISA ndO MAANA UKAULIZA,
SASA KWEL UNAWEZA UKALINGANISHA MBEYA KWA TANGA,KIJIJI NA MJI?
SHAME ON YOU!
KWA KIFUPI MBEYA NI MJI MJUBWA SANA HAUWEZ UKALINGANISHA NA TANGA,TANGA NI MJI WA KISWAHILI,
 
acha kuifananisha Tanga yetu na vitu vya ajabu ajabu Mbeya starehe yao ni baridi tu
ova
Ahahahaha mkuu hata maghorofa Mbeya wameanza kuyaona miaka ya 2000's wakati Tanga yalikuwepo kabla ya ukoloni. Yaani Mbeya hata kwa Morogoro haingii seuse Tanga?
 
Back
Top Bottom