Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

manyanya-inn-6454-9fd279e258c46db39516f1242755fa2eea978f16.jpg
 
Maoni kitu kingine na facts kitu kingine.... Huwezi kutoa maoni wakati kuna facts..... Kwa huwezi mimi maoni yangu 'dunia ni kubwa kuliko jua' wakati fact ipo kwamba jua ni kubwa kuliko dunia.
Tatizo ni utandawazi,kila mmoja bila kujali IQ yake tunajumuika tu. Nilifikiri niko na saizi zangu,nisameheni sana.
 
Ahahahaha mkuu hata maghorofa Mbeya wameanza kuyaona miaka ya 2000's wakati Tanga yalikuwepo kabla ya ukoloni. Yaani Mbeya hata kwa Morogoro haingii seuse Tanga?
walibahatika kupata national airport na kwa sasa sio Mbeya tena ni Songwe
 
walibahatika kupata national airport na kwa sasa sio Mbeya tena ni Songwe

Kama kitu hujui bora utulize Zigo chini, Songwe ya uwanja ipo Mbeya vijijini mbele ya Mbalizi, hiyo Songwe ya mkoa ni huko wilaya ya Mbozi , Ileje ,Tunduma na Chunya
 
Tanga jiji liko vizuri. Na mambo mazuri zaidi yanakuja. Uwanja mkubwa wa ndege, kiwanda kikubwa cha cement kuliko cha Dangote kujengwa eneo la Amboni(uchumi wa viwanda) kuanzia julai jiji litauza viwanja vipya 3000 ili kupanua mji.
Maji ya bomba hadi kwenye maeneo ambayo hayajajengwa. Umeme sio tatizo. Brbr nyingi za lami hata ufunge 10 hakuna foleni. Mwaka ujao wa fedha tunafunga traffic lights kiasi cha kuliandaa jiji na ujio wa magari mengi!
Karibuni Tanga.
 
Kama kitu hujui bora utulize Zigo chini, Songwe ya uwanja ipo Mbeya vijijini mbele ya Mbalizi, hiyo Songwe ya mkoa ni huko wilaya ya Mbozi , Ileje ,Tunduma na Chunya
sasa ndio unaongea nini hapo??
kama unabishana na wenyenchi sawa
 
Back
Top Bottom