Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani.
Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.
Siau kunigeneralize na watu wengine wakati kosa linapottokea sipendi kabisagubu,kununa nuna,kiburi,sipendi kabisa sipendi kufananishwa au kulinganishwa na mtu yyte au
Ipycalypse hela za mawazo hizo mkuuSipendi nikimtoa out unamnunulia kinywaji kama ni juicy anakunywa funda mbili inaisha, soda anakunywa mara tatu chupa empty. Sipendi hata kidogo
Ipycalypse hela za mawazo hizo mkuu
Asante.. Wa hovyo una maana gani Eiyer?
Sipendi mpenzi wangu alale na chupi!
sure.......Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani.
Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.