Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

wangu anavaa gauni na suruali na sweta juu na kichwani anafunga kilemba kinafungiwa shingoni ,,,,,,,,,,,sipendi
 
Siau kunigeneralize na watu wengine wakati kosa linapottokea sipendi kabisagubu,kununa nuna,kiburi,sipendi kabisa sipendi kufananishwa au kulinganishwa na mtu yyte au

Demu mmoja amenitesa sana na hiyo kitu aiseeh ! Yaani ananifanisha na mabwana zake wa zamanii, iliniuma saaana ! Halafu ana kiburi ile mbaya. Siku ya kumwaaga nilimuonyesha nina furaha sanaa, nikamletea keki kuuubwa nimeiandika 'thanks for your love !!' then baada ya hapo nikasepa jumla, no sms no call. Hakuamini, ila inataka moyo ooh hoo!
 
ukikutana na mtu mwenye gubu,kiburi,kununanuna mfano babaanaleta vitu kwenye gari anataka vikachukuliwe anasema hivi 'hebu nyie wanawake huko ndani tokeni mtoe vitu kwenye gari' yaaani kakujumlisha na hao h/gal kila kitu.lingine utasikia na wanawake wana hiyo tabia anakulinganisha na watu wake wazamani .ha! ally kombo mi sipendi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom