Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

Hata hii siipendi,
Mpenzi wangu kunifuata kazini bila taarifa.
 
Makubwa! nivea umejuaje nimekaa muda mrefu? Ulitaka nitie neno? Afu sipendi usivojibu pm zangu....
Kaizer sipendi maana utaacha kale katabia kako na mimi huwa nakafaidi kale ka pipiiiiiiiiiiiiiiiiii simpendi mleta uzi maana utaanza kuona aibu
 
Last edited by a moderator:
Unampigia leo, anakata – then nilikuwa na maongezi na boss,
Kesho unapiga, anakata then, - nilikuwa meeting,
Keshokutwa unapiga anakata, then sababu kibao …….
WIZI MTUPU! SIPENDI KABISAA
Unampigia leo, anakata – then nilikuwa na maongezi na boss,
Kesho unapiga, anakata then, - nilikuwa meeting,
Keshokutwa unapiga anakata, then sababu kibao …….
WIZI MTUPU! SIPENDI KABISAA
 
Hiyo namba 2.

Kweli sipendi uongo na I hate uongo, hata kwa kitu kidogo

Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani.
Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.
 
Siau kunigeneralize na watu wengine wakati kosa linapottokea sipendi kabisagubu,kununa nuna,kiburi,sipendi kabisa sipendi kufananishwa au kulinganishwa na mtu yyte au

hapo sijakupata dada
 
Sipendi nikimtoa out unamnunulia kinywaji kama ni juicy anakunywa funda mbili inaisha, soda anakunywa mara tatu chupa empty. Sipendi hata kidogo
 
Kweli kabisa kule kwetu moshi wanaume wooote hatupendi wanawake wetu walale uuuuu uchi kweli
 
sipendi anidanganye, sipendi atoe siri za ndani nje, sipendi kukuon ana kopakopa, sipendi awe mchafu,
 
Sipendi mpenzi wangu alale na chupi!

:biggrin1: hiyo hata mi sipendi. Pia sipendi mtu hamjaonana wala kuongea siku nzima anatoka kazini anaingia nyumbani hakusalimii anaanza kukumbusha kitu ulichomfanyia jana na kuanzisha ugomvi ...byaatchhhh
 
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
sure.......
 
Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani.
Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.

Sipendi, sipendi, sipendi, sipendi, sipendi, sipendi, sipendi WANAUME!
MWANAUME WASIOJALI HISIA ZA MWENZI WAKE, MWANAMME KATILI, MWANAMME MNYANYASAJI, MWANAUME ASIEJUA KUPENDA, MWANAUME MARIOOOO, MWANAUME ANAEMNYIMA HAKI YAKE MWENZI WAKE, MWANAUME MWENYE WANAWAKE WENGI KWA WAKATI MMOJA, SIPENDI....................................
 
Wanawake wapenda tigo - sipendi,
Unamshughulikia yeye anacheka - sipendi,
Wewe je?
 
Back
Top Bottom