Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Habari zenu.
Swali hili linawalenga wanawake wenzangu waliopo kwenye ndoa na wale wanaotarajia kuingia huko.
Kwanza nianze kwa kusema hivi kwa imani yangu mimi, ukishaingia kwenye ndoa hutoki mpaka kifo kimkute mmoja wenu hata kwa wale wenzetu ambao talaka inaruhusiwa sidhani kama wanafurahia kuvunjika kwa ndoa.
Tumaini na furaha ya mwanandoa yeyote ni kuona ndoa yake inadumu na kustawi siku hadi siku, kuvunjika kwa ndoa si jambo la kufurahisha.
Kwa maana hiyo ni wajibu wa kila mwanandoa kuilinda ndoa yake isivunjike kwa kuvumilia mapungufu,makosa na vikwazo vinavyoibuka kwenye maisha ya ndoa.
Back to the topic.
Kuna tabia hii ambayo wanaume wanayo ya kuchepuka, najua wapo wanawake wanaochepuka lakini kwa hapa niko upande mmoja.
Let's say unaishi na mumeo, wewe hujaona dalili zozote za kuchepuka, yaani anawahi kurudi, matunzo anatoa, haki zako zote unapata pasipo longolongo kuna ulazima wowote wa kujua kwamba anachepuka na anachepuka na nani?
Ikitokea nimemshuhudia mumeo anaingia kabisa na mwanamke gesti au huwa namuona anaingia nyumba fulani kwa siri na inasemekana amemjengea hawara hiyo nyumba natakiwa nikwambie au nipige kimya?
Nikiuambia utapata faida /hasara gani wewe kama mke?
Na nikipiga kimya utapata faida/hasara gani?
Nimeamua niulize hivi maana mara nyingi kumetokea mabishano kuhusu hili wapo watu wanaoona raha kuletewa habari za waume zao, na ikitokea wamegundua kuwa wewe ulikuwa na taarifa za uchepukaji wa wanaume wao na hujawaambia kama ni rafiki utaitwa mnafiki.
Pia wapo wale ambao hawapendi kusikiliza habari za kuwahusu waume zao as long as macho yake yanaona mambo yako sawa kwa hiyo anaassume yako sawa even behind their backs?
Ni lipi bora? Mtazamo wako please