Lipa kabla hujaanza kunywa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipa kabla hujaanza kunywa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Nov 7, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwenye baa moja mtaani kwetu kuna bango linasomeka hivi:
  "Ikiwa unataka kunywa kwa ajili ya kusahau, tafadhali lipa kwanza kabla hujaanza kunywa".
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni sahihi usije sahau kuwalipa haki yao!
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kulewa bure, kunywa unalipiwa.!
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ndio! Ingawaje nia yako ya kunywa ni kusahahu matatizo yako, inawezekana hata hivyo kulipa ni tatizo kwako.
   
 5. K

  Kiganda Senior Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inaonyesha ni jinsi gani pombe zikisha kukolea mnajifanya kusahau idadi. Kuepusha usumbufu, mnaambiwa mlipe kwanza.
   
Loading...