Naona Rooney ungemtoa kwenye list hii bora hata Drogba, Magoli ya Rooney yeye anasubili Valencia amletee kichwani ndo afunge.Messi kiboko ni mchezaji bara na atabaki kuwa mchezaji bora.Kwa mechi ya jana dhidi ya Zaragoza dogo alicheza vizuri sana,japo Abrahimovic alipoteza nafasi nyingi za wazi lakini Messi hakukata tamaa,aliendelea kucheza vizuri hata ile penalty aliamua kumuachia Abrahimovic lakini angekuwa Rooney angetaka yeye ndo apige.Messi hana majivuno wala hasira za ajabu ajabu hasa awapo uwanjani. Messi bado namba moja na Rooney asahau kabisa.
Mzee una hasira na Rooney, na ataendelea kukutungua tuNaona Rooney ungemtoa kwenye list hii bora hata Drogba, Magoli ya Rooney yeye anasubili Valencia amletee kichwani ndo afunge.Messi kiboko ni mchezaji bara na atabaki kuwa mchezaji bora.Kwa mechi ya jana dhidi ya Zaragoza dogo alicheza vizuri sana,japo Abrahimovic alipoteza nafasi nyingi za wazi lakini Messi hakukata tamaa,aliendelea kucheza vizuri hata ile penalty aliamua kumuachia Abrahimovic lakini angekuwa Rooney angetaka yeye ndo apige.Messi hana majivuno wala hasira za ajabu ajabu hasa awapo uwanjani. Messi bado namba moja na Rooney asahau kabisa.
Mkuu sijakataa kama Rooney hafungi magoli hapa tunamlinganisha Rooney na Messi.Nimesema kuwa Magoli anayofunga Rooney na ya Messi ni tofauti sana Messi anahangaikia goli lakini Rooney anamalizia tu iliyokwisha tengenezwa na wengine,nafikili kama uliangalia mechi ya jana ya Barcelona na ya j'tano na last weekend utagundua kuwa Messi magoli yake hakuna Strike anaweza kuyafunga na hata kama wakiweza sio magoli 8 ndani ya wiki moja.Mzee una hasira na Rooney, na ataendelea kukutungua tu
Mkubwa hivi jina la thread inasema nani zaidi kati ya Messi na Rooney ?au nimekosea kusomaMkuu sijakataa kama Rooney hafungi magoli hapa tunamlinganisha Rooney na Messi.Nimesema kuwa Magoli anayofunga Rooney na ya Messi ni tofauti sana Messi anahangaikia goli lakini Rooney anamalizia tu iliyokwisha tengenezwa na wengine,nafikili kama uliangalia mechi ya jana ya Barcelona na ya j'tano na last weekend utagundua kuwa Messi magoli yake hakuna Strike anaweza kuyafunga na hata kama wakiweza sio magoli 8 ndani ya wiki moja.
labda mzee unamzungumzia Rooney wa Manzese kwa Mtogore ama wa Buguruni kwa mnyamani.Mkuu sijakataa kama Rooney hafungi magoli hapa tunamlinganisha Rooney na Messi.Nimesema kuwa Magoli anayofunga Rooney na ya Messi ni tofauti sana Messi anahangaikia goli,nafikili kama uliangalia mechi ya jana ya Barcelona na ya j'tano na last weekend utagundua kuwa Messi magoli yake hakuna Strike anaweza kuyafunga na hata kama wakiweza sio magoli 8 ndani ya wiki moja.lakini Rooney anamalizia tu iliyokwisha tengenezwa na wengine
Mkuu sijakataa kama Rooney hafungi magoli hapa tunamlinganisha Rooney na Messi.Nimesema kuwa Magoli anayofunga Rooney na ya Messi ni tofauti sana Messi anahangaikia goli lakini Rooney anamalizia tu iliyokwisha tengenezwa na wengine,nafikili kama uliangalia mechi ya jana ya Barcelona na ya j'tano na last weekend utagundua kuwa Messi magoli yake hakuna Strike anaweza kuyafunga na hata kama wakiweza sio magoli 8 ndani ya wiki moja.
Mkuu BeloTop 10 yangu ni hii-TOP 10 STRIKER
- Leo Messi
- Wayne Rooney
- Gonzalo Higuain
- David Villa
- Fernando Torres
- Didier Drogba
- Christiano Ronaldo
- Diego Milito
- Carlos Tevez
- Samuel Etoo
1. Messi
2. Ronaldo
3. Drogba
4. Robinho
5. Rooney
6. Henry
7. Torres
8.David villa
9. Van persie
10. Higuain
Top 10 yangu ni hii-TOP 10 STRIKER
- Leo Messi
- Wayne Rooney
- Gonzalo Higuain
- David Villa
- Fernando Torres
- Didier Drogba
- Christiano Ronaldo
- Diego Milito
- Carlos Tevez
- Samuel Etoo