Lion Pride-Serengeti Plains

Mtanga Tc

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
235
84
Hawa wajasiriamali wakiwa katika anga zao kutafutia familia mlo wa mchana!
P1010648.JPG
P1010648.JPG
 
Hao si ndio wale wanaokaa juu ya miti tofauti na simba wengine kwenye mbuga nyingine za wanyama duniani....?
 
Hao si ndio wale wanaokaa juu ya miti tofauti na simba wengine kwenye mbuga nyingine za wanyama duniani....?
Hao wapanda miti wanaitwa simba mbarara, wanapatikana sana mbuga ya manyara, japo siku hizi hata kwenye mbuga nyingine waweza ona simba wanaopanda miti mheshimiwa mtambuzi!
 
Hao wapanda miti wanaitwa simba mbarara, wanapatikana sana mbuga ya manyara, japo siku hizi hata kwenye mbuga nyingine waweza ona simba wanaopanda miti mheshimiwa mtambuzi!

mbarara wanang'ata kweli....ila ni wadogodogo.....ukitaka kuwaona simba wapanda miti zaidi ya manyara...nenda serengeti western corridor....maeneo ya kirawira utawapata.....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom