Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Ila hiyo linux nilishadownload tokea mwanzo na limedownlodika kwa winrar
 
mwaminifuhalisi Siku za nyuma niliwahi Kuinstall Ubuntu. Lakini nikaitoa baada ya kushindwa kuinstall programu kadhaa nilizokuwa natumia katika Windows. Nilishindwa kuinstall hata modem. Natamani kuinstall na kutumia Ubuntu lakini sijui kama ntaweza kuinstall programu nizitakazo. Naomba maelekezo.
 
Ulikuwa unatumia modem gani unatumia modem gani kwa sasa? kama ni za HUAWEI zinakuja pamoja na software za linux naweza kukuelekeza jinsi ya kuinstall.
 
Jamani mimi naomba msaada wa kuinstall kali linux maana ninapoanza kuboot inakuja massage remove disk or other media press any key to restart
MR jaribu kwenda kwenye "boot manager" halafu "Boot Device Options" na kisha uiturn off "secure boot".
Kabla ya kuinstall kali linux usisahau kuangalia video #98 kwa maelekezo zaidi usije ukalia maana ilishawahi nifanya mbaya kipindi nipo chuo.
 
Natumia huawei E303 ya Tigo.
Itabidi nidownload Ubuntu na ni Install tena.
Wasiwasi wangu ni namna ya kuitumia. Je masuala ya sauti na
Display yatakuwa poa au kuna mambo ya kufanya
ili iwe sawa. Samahani sipo vzr sana kwenye OS ya Ubuntu.
Ulikuwa unatumia modem gani unatumia modem gani kwa sasa? kama ni za HUAWEI zinakuja pamoja na software za linux naweza kukuelekeza jinsi ya kuinstall.
 
Modem nyingi huwa zinakubali bila shida kwenye Ubuntu. Nilikuwa na modem kama hiyo ya e303, unaichomeka tu then ukienda pale kwenye network manager unakuta ishadetect.
 
Linux admin inanihusu ili niyaweze haya mambo
 
Natumia huawei E303 ya Tigo.
Itabidi nidownload Ubuntu na ni Install tena.
Wasiwasi wangu ni namna ya kuitumia. Je masuala ya sauti na
Display yatakuwa poa au kuna mambo ya kufanya
ili iwe sawa. Samahani sipo vzr sana kwenye OS ya Ubuntu.
Kikawaida ubuntu version za karibuni inakuja karibu drivers zote japokuwa broadcom wireless adapter inabidi ufanye setting kidogo, kuhusu hiyo E303 modem inafanya kazi vizuri kabisa na software yake unaweza install kwenye ubuntu. na nakushauri weka dual boot(windows na ubuntu).
 
mimi mwaka wa kumi natumia ubuntu na application za windows baadhi hata hivyo linux nao wana apps nzuri tuh sio lazima uweke hizo za windows, so ushauri wangu anagalia apps za windows ambazo unazitaji saana then search kwa upande wa linux unapata trust me ila zina utofauti kidogo. au waweza tumia wine/playonlinux or ukishindwa kabisa install virtual machine then weka O.S yako ya windows alafu utakua uki run endapo unataka kutumia hio application yako ili mradi ubakie kwenye ubuntu mie ndo uwa na fanya hivyo....aise karibu saana ilove linux maana ni freeee hata state naweza zama nayo bila kukamatwa hahaha
 
us
Natumia huawei E303 ya Tigo.
Itabidi nidownload Ubuntu na ni Install tena.
Wasiwasi wangu ni namna ya kuitumia. Je masuala ya sauti na
Display yatakuwa poa au kuna mambo ya kufanya
ili iwe sawa. Samahani sipo vzr sana kwenye OS ya Ubuntu.
usigope iweke kwenye flash then boot kwa flash alafu chagua try ubuntu , alafu utaitumia bila ku install so hapo utakagua sauti, display, wifi, bluetooth na vingine alafu utaji ridhisha kua kila kitu kiko sawa then utamua ku install kuhusu moderm hasa hizi za huawei hazina shida zina soma kama kawa una haja ya settings mie natumia modem ya voda na iko poa tu
 
Wakuu napataje Ubuntu?
nenda www.google.com then search ubuntu fungua link ya kwanza alafu nenda download chagua desktop utaona ushauri wangu download 16.04.1LTS hio ndo nzuri ina support hadi mwaka 2019 tofauti na hio 17.04 inakua sio stable alafu ni short term na ina manjonjo mengi tuh
 
Asante mkuu ngoja nijaribu
 
uget work for me 😀 ila hio mzuka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…