Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Hivi kuna android inayofaa kwenye PC?
Naombeni msaada wenu maana window wanazingua sana na Android ndio naiona inafaa zaidi
 
Baada ya kutumia rufus imekuja hivi
Hiyo Rufus ni kwa ajili ya kuwrite windows ISO kwenye flash kama unataka kuwrite linux tumia pendrive linux. Then ukishamaliza zima pc yako na inavyowaka angalia inakwambia bonyeza button Gani for boot options then ipress hiyo button (hapo inabidi uwefasta kucheki na kupress) na chagua USB drive hapo itaanza kuboot hiyo linux yako
 
Mkuu ebu download kwanza hii software na hakikisha flash yako ina nafasi za kutosha.
Universal-USB-Installer-1.9.5.2.exe

Kisha burn image kwenye hiyo flash yako kwa kutumia hiyo software.

Baada ya kumaliza kuburn flash na kuwa bootable restart computer yako.

Kwa haraka (sijui unatumia computer gani) bonyeza F12 utaona boot menu inakuja.

Chagua usb drive yako kama ndio boot drive na hapo itakuja menu ya kali.

Kabla ya kuinstall usisahau kufuata maelekezo post #98.
 
Windows is just like an application and not OS
 
mint ina ni bore kitu kimoja hahaha kwanza kama windows alafu kila toleo ni jina lakike hahaha fatilia code names za kila toleo la mint utachoka majina ya kike kama android na pipi 😀

Hawa jamaa sijui huwa wanafukiria nini? Wana version kibao. Alafu kama vile katika familia ya Linux hii OS ndo nyepesi
 
Kaka bado hii ngoma inanisumbuwa
Aisee nina wasisi na hyo image yako uliyonayo. Kulijua hilo tafta PC nyingi then iboot hyo flash yako ambayo ni bootable. Kama wew ni mtumiaji wa Linux utakuwa umenielewa maana ina option ya kuitumia kwenye PC bila ya kuinstall.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…