Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,504
- Thread starter
-
- #41
Kwakweli nimeshangazwa sana sana na comment ya huyo Mpwa wangu, sijui aliwaza ninim sijui kwa kweli. alitaka nimshirkikishe juu ya uundwaji wa group mpya ya Mapenzi ya Whatsapp au facebook pengine ndicho alichokitakaKitu kizuri katika jamii lazima tufahamishane, kwa sababu ni kitu kinacholeta matokeo chanya katika nyaja zote.
Kwakweli nimeshangazwa sana sana na comment ya huyo Mpwa wangu, sijui aliwaza ninim sijui kwa kweli. alitaka nimshirkikishe juu ya uundwaji wa group mpya ya Mapenzi ya Whatsapp au facebook pengine ndicho alichokitaka
Nimeanza na hawa
sexologist Khantwe na mtumishi wa Mungu Eiyer wapitie hii thread kama bado hawajaisoma.
Yaani ndo maana nakupendaga, coz "kizuri Unakula na Mimi" lol. Thanks much and najua utanisaidia vizuri na issue hiiNgoja nikaite katoto kangu Heaven Sent
Yaani ndo maana nakupendaga, coz "kizuri Unakula na Mimi" lol. Thanks much and najua utanisaidia vizuri na issue hii
dah Ngoja nikarekebishe akaunt yangu nahisi nimeandika utumbo
kuku wa kienyeji unaona saragossa amekupa mfano?
Nimetoka kuchungulia huko, khaa watu wameenda shule. Embu nisaidie kwa mfano nikijiunga, ndani ya mwaka mmoja...what future benefits should i expect kwa kifupi tu. Saragosaa nimempata sema kiduchu. Nisaidieni kunielewesha