Link ya app ya JamiiForum

Link ya app ya JamiiForum

sparcus

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
193
Reaction score
125
Msaada naomba mwenye link ya jamii forum itakayo niwezesha kuidownload aniwekee hapa kwenye thread.
Sihitaji kupitia kwenye google play store kwakuwa nimejaribu mara nyingi imeshindikana,naomba mwenye uwezo wa kuniwekea hiyo app ili niidownload afanye kama kwenye ile thread ya VPN HOTSHIELD.
Natumia opera mini ila simu ni samsung galaxy s4 (mchina)
 
msaada naomba mwenye link ya jamii forum itakayo niwezesha kuidownload aniwekee hapa kwenye thread.
sihitaji kupitia kwenye google play store kwakuwa nimejaribu mara nyingi imeshindikana,naomba mwenye uwezo wa kuniwekea hiyo app ili niidownload afanye kama kwenye ile thread ya VPN HOTSHIELD.
natumia opera mini
ila simu ni samsung galaxy s4 (mchina)
 
Back
Top Bottom