Link kuhusu Boeing ya Tanzania ni link fake-Ushahidi

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,143
3,222
oda za 787-8.png
boeing-yaleyale.png
787-8 fake.png
boeing-787-zaidi.png
Wadadu, link hii ninayoikwoti sahihivi inayosambazwa kwa kuonesha ndege ya boeing iliyonunuliwa na Tanzania ni link fake, iliyotengenezwa kwa malengo ya kisiasa. Ushahidi uko hapo kwenye hii niliyoatach. Na hiyo link nai kwote hapa "Airbus, Boeing, Convair and Douglas Production List"

Na ili ujue ukweli cklik hiyo picha hapo chini. Hii website fake imetengenezwa tarehe 18 september 2016, ili tu ku mislead public ya wa Tanzania.
 
Attachments

  • walioziwa boeing.png
    walioziwa boeing.png
    16.8 KB · Views: 120
  • walioziwa boeing.png
    walioziwa boeing.png
    16.8 KB · Views: 102
Wanasiasa wa Afrika hasa wanaotafuta kushika dola kwa Misingi ya uchu na ubinafsi. Haya ndio matunda yao.
Magufuli anawaumiza vichwa sana...
Kama kweli mtu anania njema na taifa Lake hawezi kuleta mambo ya kutungatunga...

Hao ndo wanasiasa wanaotegemea kukamata nchi kwa namna hiyo, wanaenda mbali hadi ku craete link za uongo ili tu kuwanywoesha sumu wananchi.
 
Kwa mtu mwenye uzoefu na mambo ya mtanndao wala haangalii mara mbili. Hili Blog ni feki kwa vigezo vyote.
Hilo lipo wazi sana mkuu wanasiasa uchwara kwa taifa hili ni watu wa ajabu sana hawana maana hata kidogo watu kama zitto ni sawa na bata tu.
 
Hilo lipo wazi sana mkuu wanasiasa uchwara kwa taifa hili ni watu wa ajabu sana hawana maana hata kidogo watu kama zitto ni sawa na bata tu.
Pamoja na kujua kuwa ni feki LAKINI tusichukulie tu aliyetengeneza anataka kuichafua serikali kwa kuonyesha imenununua terrible teen! Upande wa pili wa shilingi unaweza ukawa serikali ni kweli imenunua hiyo ndege na hapa wanajaribu ku mis-lead watu ili issue nzima ionekane kama umbea. Chezea kitengo wewe!
 
Na ile website nyingine wameedit kiasi kwamba only dreamline ndo wanaonesha inapokwenda uku matoleo mengine hayana ki2
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wadadu, link hii ninayoikwoti sahihivi inayosambazwa kwa kuonesha ndege ya boeing iliyonunuliwa na Tanzania ni link fake, iliyotengenezwa kwa malengo ya kisiasa. Ushahidi uko hapo kwenye hii niliyoatach. Na hiyo link nai kwote hapa "Airbus, Boeing, Convair and Douglas Production List"

Na ili ujue ukweli cklik hiyo picha hapo chini. Hii website fake imetengenezwa tarehe 18 september 2016, ili tu ku mislead public ya wa Tanzania.

na official link ya boeing wanayoonesha kuwa hadi sasa wana oda mia nne naa za boeing 787-8 nayo ni uongo?

Boeing: Commercial

maana inaonesha wazi toka mwezi wa 11 mwaka jana hadi sasa hiyo model ya ndege walioweka oda si zaidi ya 9, na hakuna aliye na production number inayozidi mia nne

Kuhusu hao wengine, kwa hiyo hao AVGeeks wakusanye data za ndege zote duniani kwa sababu ya serikali ya Tanganyika?
 
Back
Top Bottom